witnessj
JF-Expert Member
- Mar 22, 2015
- 28,704
- 47,260
Kabisa anakuwa na upeo mdogo sana wa akili, hata kuanalse mambo inakuwa ishu!Shamimu simshangai kumuacha huyu baba maana hatujui yaliyokuwemo na huwa sishauri kukaa kwenye vitu visivyoekeweka,ilala mwanaume darasa la saba hata awe na pesa bado havutiii
Kuna kitu kinapungua
Tena kwa mwanaume inabidi ubukue buku asee, coz we ndo kiongozi wa family na unakumbana na mambo kibao duniani[emoji848]
Sasa la saba B mweeh, sijui huko mahakamani alikuwa anaongea utopoloo gani