UbarikiweEndelea kuuza na kubugia
Ujeuri akat upepo umechange 😹 too bad that muphucka dead thoHata yy alionywa mara kibao, wenzake wote walikimbilia south wengine wakaachana na hii mambo yy naona pressure za matanuzi na mivimbo ikamjaa, nyumba ilipigwa sachi zaidi ya masaa kumi hola mwishoni wazee wakasema ebu tuchek haya magari, wakakuta mzigo umeshonwa kwenye leather seat ya discovery.
watakuwa walimuwekea dealer huwa hatembei na mzigoUjeuri akat upepo umechange [emoji81] too bad that muphucka dead tho
Labda hati haina majina yao bali ya watoto ila gari possibly bluecard inasoma majina yao ndio maana wamelitaifishaWametaja gari tu ,ina maana nyumba walikuwa hawana?
Awekewe au asiwekewe ukweli ni kwamba hyo biashara alikua anaifanya, wamewaponza vijana wengi wapo jela huko india, pakistani, hongkongwatakuwa walimuwekea dealer huwa hatembei na mzigo
Kuna.mdau alisema Unga ulikuwa kwenye gar umeshonwa kwenye leza huko.Lazima gari iliyokutwa na mzigo uchukuliwe tuu km ndiyo hivyo.Labda hati haina majina yao bali ya watoto ila gari possibly bluecard inasoma majina yao ndio maana wamelitaifisha
Gari ishataifishwaKuna.mdau alisema Unga ulikuwa kwenye gar umeshonwa kwenye leza huko.Lazima gari iliyokutwa na mzigo uchukuliwe tuu km ndiyo hivyo.
Ndiyo maana yake si ilikuwa na ushahidi mkuu.Gari ishataifishwa
Alikuwa na magari mengi so probably gari waliokua wanafichia mzigo yenyewe ilikwekwa parking tu 24/7 haitoki nyumbani, lakini pia just incase searching inafanyika lazima concentration inakuwa ndani ya nyumba na hata hyo issue ya gari walishtuka baada ya mbwa nusanusa Kung'a ng'ania gari mojawapo lililokutwa na mzigo option ikaja kuondoa siti zote na kufanya thorough searching.watakuwa walimuwekea dealer huwa hatembei na mzigo
Ndiyo maana yake si ilikuwa na ushahidi mkuu.
Mkuu tupe elimu ilikuwaje aiseeIle ilikufa punde walipokamatwa kina Chonji,na sidhani kama haikuwa ikiendeshwa kihasara maana nishajaribu hii biashara ya usafirishaji nusu iondoke na roho yangu.lilikuwa chaka lile
biashara ya malori?Hivi ile kampuni yake ya usafirishaji ilikufa au Kuna mwamba anaiendeleza maana ndio lilikuwa Chaka lake lakuzugia
Ugoro hauna madhara makubwa kama plama mkuu, alafu ugoro ni bei chee ukilinganisha na podaBado wauza ugoro wanaharibu sana vijana wetu
Ni ngumu sio kama unavyodhani au ulivyoekezwa,na kumbuka mtaji wake si mdogo sasa pata picha ilikuwajeMkuu tupe elimu ilikuwaje aisee
Hapana walikuwa wanasafirisha mizigo mikoan yaan wanachukua oda toka kwa watu then wanasafirisha nadhan walikod fuso za watu ilikuwa biashara ya kuzugiabiashara ya malori?
abdul alikuwa tajiri sana au kawaidaHapana walikuwa wanasafirisha mizigo mikoan yaan wanachukua oda toka kwa watu then wanasafirisha nadhan walikod fuso za watu ilikuwa biashara ya kuzugia
Hakuwa tajir mkuu kama akina bakhresa au mo aliweza badil mboga na kutembelea ndinga Kali basabdul alikuwa tajiri sana au kawaida