Shamimu Mwasha na Abdul Nsembo wahukumiwa kwenda jela maisha baada ya kukutwa na hatia ya kusafirisha Dawa za Kulevya

Shamimu Mwasha na Abdul Nsembo wahukumiwa kwenda jela maisha baada ya kukutwa na hatia ya kusafirisha Dawa za Kulevya

Hata yy alionywa mara kibao, wenzake wote walikimbilia south wengine wakaachana na hii mambo yy naona pressure za matanuzi na mivimbo ikamjaa, nyumba ilipigwa sachi zaidi ya masaa kumi hola mwishoni wazee wakasema ebu tuchek haya magari, wakakuta mzigo umeshonwa kwenye leather seat ya discovery.
Ujeuri akat upepo umechange 😹 too bad that muphucka dead tho
 
Labda hati haina majina yao bali ya watoto ila gari possibly bluecard inasoma majina yao ndio maana wamelitaifisha
Kuna.mdau alisema Unga ulikuwa kwenye gar umeshonwa kwenye leza huko.Lazima gari iliyokutwa na mzigo uchukuliwe tuu km ndiyo hivyo.
 
watakuwa walimuwekea dealer huwa hatembei na mzigo
Alikuwa na magari mengi so probably gari waliokua wanafichia mzigo yenyewe ilikwekwa parking tu 24/7 haitoki nyumbani, lakini pia just incase searching inafanyika lazima concentration inakuwa ndani ya nyumba na hata hyo issue ya gari walishtuka baada ya mbwa nusanusa Kung'a ng'ania gari mojawapo lililokutwa na mzigo option ikaja kuondoa siti zote na kufanya thorough searching.
 
watakuwa walimuwekea dealer huwa hatembei na mzigo
Screenshot_20210404-124556.png

Screenshot_20210404-124652.png
 
Ile ilikufa punde walipokamatwa kina Chonji,na sidhani kama haikuwa ikiendeshwa kihasara maana nishajaribu hii biashara ya usafirishaji nusu iondoke na roho yangu.lilikuwa chaka lile
Mkuu tupe elimu ilikuwaje aisee
 
Sema hapa tz tunaoneana tu huko mtu anakutwa na tani 2 na bdo anafungwa 11yrs na bdo anaweza kutoka kabla
Screenshot_20210404-110805_Opera%20Mini.jpg
 
Niliona video moja baada ya hukumu dada huyo aliangua kilio balaa ila mshikaji akawa anasema yy alijua yatatokea yaliyo tokea na anasema watakata rufaa kwa kuwaaamuzi ni ya jaji mmoja
Duh nikasema huenda watu wanafanya ma dili bila kujua sideeffect endapo ukitiwa mikononi mwa dola
Sheria mpya inasema mtu akikutwa na madawa kiwango cha gramm 200 + adhabu yake ni jela maisha
Na mtu akikutwa na madawa kiwango cha gram 200 (kushuka chini) jela miaka 30.
Hapa kweli serikali imeamua kutokomeza biashara hii haramu
 
Back
Top Bottom