Shamimu Mwasha na Abdul Nsembo wahukumiwa kwenda jela maisha baada ya kukutwa na hatia ya kusafirisha Dawa za Kulevya

Hapo na bangi imo? Sasa hivi kwenda jela rahisi sana
 
Kujitoa tu fahamu Ili na wengine waone ni rahisi kutoka wadabwe wakaungane, huyo mama kile chama chake cha Land fashions waendelee kumpetipeti na kumuangalizia watoto.
 
Kujitoa tu fahamu Ili na wengine waone ni rahisi kutoka wadabwe wakaungane, huyo mama kile chama chake cha Land fashions waendelee kumpetipeti na kumuangalizia watoto.
Alikuwa anawapa moyo hata ndugu zake kuwa wasilie...labda laywer wake kamwambia atachomoka kwenye appeal u never know[emoji1745]
 
Sema hapa tz tunaoneana tu huko mtu anakutwa na tani 2 na bdo anafungwa 11yrs na bdo anaweza kutoka kablaView attachment 1743042
Sasa kiongozi unajua kinacho gharimu ni serikali kutumiaa pesa nyingi kununuaa madawa ambayo hayananulazima sababu mtu akitumia ngada inakuwa starehw kwake ila adhari zake ni madhara kwa wengine na taifa kwa ujumla so nyundo ni muhimu sanaaaa
 
Acha wafungwe tu kwanza kitu nzuri OG wanapeleka Ulaya na South huku kitaa wanatuuzia feki.
 
Wengi hawalijui hili..wanadhani watu wote wanakuwa addicted kwa kupenda kwao tu..
 
Ila unga ni level nyingine kabisa mtu anakuwa addicted vibaya kinoma hana time na mapenzi wala kujiweka poa we acha kuacha unga ni ngumu mno duniani mtu anakikuta kafika hata kula starehe nyingine kapuni

Kuna wana wanakula ganda hawana time na mademu wala nn kuiba tu then kutinga unawakuta saa saba maskani wamasinzi wanaongea huku wamafumba macho ila wanaisha kila siku kwa kuuliwa kwa uwizi ni hata jamani kwa taifa
 
Hao sio dili, anatafutwa mwenye visenti
Kuna madogo wiki iliyopita wamehukumiwa miaka 30 kwa kesi ya bangi...walikamatwa na misokoto mia mbili ya bangi huko babati. (hii ujazo wake ni kama packet kumi tu za sigara)
 
Inauma na inachoma shamimu kufungwa maisha na dada wa watu hauzi Unga na aliewaekea Unga ni makonda huyu makonda huyu Mungu atamuonesha kabla hajafa na uzao wake ni Roho mbaya sana.
Mbona ni tofauti sana unachokisema wewe na maelezo yaliyotolewa na kamishina jenerali wa kitengo cha kuzuia madawa?

Maana alieleza wazi namna walivyowafikia na hatimaye kuwakamata baada ya mtandao wao wa kihalifu kubanwa kuanzia mbali, Tanga.

Katika upekuzi, baada ya mke kudanganya kuwa mume hayupo hapo nyumbani kitambo kwa ugomvi wao wa kindoa, lakini akaja kukutwa kajibanza juu ya paa la simtank la maji kama panya hapo nyumbani.

Katika lawama unazomrushia Makonda, kwanini usimlaumu kwanza mkuu wa kitengo aliyeamuru kufuatilia uozo huo kisha kuwatia mbaroni hao 'wazungu wa unga' kama kweli lawama zinastahili kwenye 'angle' hiyo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…