Niliona video moja baada ya hukumu dada huyo aliangua kilio balaa ila mshikaji akawa anasema yy alijua yatatokea yaliyo tokea na anasema watakata rufaa kwa kuwaaamuzi ni ya jaji mmoja
Duh nikasema huenda watu wanafanya ma dili bila kujua sideeffect endapo ukitiwa mikononi mwa dola
Sheria mpya inasema mtu akikutwa na madawa kiwango cha gramm 200 + adhabu yake ni jela maisha
Na mtu akikutwa na madawa kiwango cha gram 200 (kushuka chini) jela miaka 30.
Hapa kweli serikali imeamua kutokomeza biashara hii haramu