Shamimu Mwasha na Abdul Nsembo wahukumiwa kwenda jela maisha baada ya kukutwa na hatia ya kusafirisha Dawa za Kulevya

Hukumu ni kubwa sana, kwa huyu mke wangempunguzia kidogo.
 
Tuna wabunge wapuuzi sana wakina babu tale na mwana fa kuna yule wa kawe vituko tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Du tamaa mbele mauti nyuma. Je wana watoto? Sipati picha watoto wao watajisikiaje. Hata hivyo, kama kweli walisafirisha hii kitu wanastahili maana wanaumiza wengine kwa tamaa yao ya utajiri.
 
Watu kama hawa ilipaswa Serikali iwaahidi adhabu kidogo kwa makubaliano ya hawa kuutaja mtandao wao woooote kuanzia huko nje na humu ndani. Kuwatupa ndani maisha bila kuwakamua information za kutosha haitoshi.
Wewe hauijui hii nchi vizuri yaani uko gizani.

Unafikiri serikali haijui mtandao wa wauza unga? Think...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…