Shamimu Mwasha na Abdul Nsembo wahukumiwa kwenda jela maisha baada ya kukutwa na hatia ya kusafirisha Dawa za Kulevya

Shamimu Mwasha na Abdul Nsembo wahukumiwa kwenda jela maisha baada ya kukutwa na hatia ya kusafirisha Dawa za Kulevya

Amfanyie wepesi kwa kuharibu maisha ya vijana wa Huyo huyo MUNGU .

Acha zenu nyie madawa ya kulevya Ni hatari Sana kwa ustawi wa Taifa

Shamimu alikuwa anajua fika mumewe anajohusisha na hayo makitu why hakumbadilisha

Msifanye mna huruma Sana wakati kitaa tunapoteza nguvu kazi

Siku ndugu yako akiingia ulimwengu wa dawa za kulevya ndio utaelewa
Unga mbaya aisee..mabest classmate wangu wa 4 wa primary na secondary wote washakua machizi kabisa kiasi cha kutonitambua. Yani nikiwaonaga kitaa naiheshimu ngada kwa kweli wamechoka kinyama meno mdomoni hamna sio poa. Wacha wanyee debe #beertamu
 
Ukishaanza kutumia unga meno yanatoka?
 
Ukishaanza kutumia unga meno yanatoka?
Cocaine mixed with saliva creates an extremely acidic solution that erodes tooth enamel and exposes the underlying dentine to decay-causing bacteria. Cocaine and crack cocaine cause dry mouth, which further increases the risk of tooth decay. Cocaine can cause tooth wear by tooth grinding (bruxism)
 
Sasa mbona wamemuachia while nae alihusika?[emoji848][emoji848]
Hakuhusika
Alimfata lindi bwana wake tu
Ila "m" nna bahati ya kukutana naye
Mwanzn nlikutana naye muhimbili alikuja
Tibiwa akiwa na pingu
Sahv nakutana naye plm village anapiga
Shopping
Ila alistahili kutoka alisota sana

Ova
 
Kwa utawala wa chief Hangaya hawa hawana muda mrefu watarudi mtaani kuendeleza mchakato tu.
No ngumu bd mambo magumu mzee
Hii biashara kufa ngumu mzee
Sema kingine hao wanaokamatwa
Kuna mambo ya ushahidi etc
Jinsi kesi inavyoendeshwa

Ova
 
Kwa hiyo hapo ndoa imeishia hapo maana mara ya mwisho kupeana unyumba ilikuwa kabla hawajakamatwa Mei 2019. Hakuna kupeana tunda tena!
"Kupanga nikuchagua" jiwe.

Hicho ndo walichokipanga na mahakama imeamua kuthibitisha uchaguzi wao.

Nawatakia maisha mema huko jera pia iwe fundisho wa waliobaki huku mtaani.
 
Back
Top Bottom