Mmmh kivip mkuu?Witnessj upo?
Hii avatar nikiiona inanikumbusha sana Warumi,
May his/her memory always be a blessing [emoji120]
Au unaonaje?Kama unawaona wanachomaka kwenye appeal!
si ndio
Unga mbaya aisee..mabest classmate wangu wa 4 wa primary na secondary wote washakua machizi kabisa kiasi cha kutonitambua. Yani nikiwaonaga kitaa naiheshimu ngada kwa kweli wamechoka kinyama meno mdomoni hamna sio poa. Wacha wanyee debe #beertamuAmfanyie wepesi kwa kuharibu maisha ya vijana wa Huyo huyo MUNGU .
Acha zenu nyie madawa ya kulevya Ni hatari Sana kwa ustawi wa Taifa
Shamimu alikuwa anajua fika mumewe anajohusisha na hayo makitu why hakumbadilisha
Msifanye mna huruma Sana wakati kitaa tunapoteza nguvu kazi
Siku ndugu yako akiingia ulimwengu wa dawa za kulevya ndio utaelewa
Una habari mtoto wa lyumba ametokaAu unaonaje?
Mungu ni mwema siku zoteUna habari mtoto wa lyumba ametoka
Kesi ya lindi,ila jamaa yk ndy alikula kifungoo
ova
Unga mbaya aisee..mabest classmate wangu wa 4 wa primary na secondary wote washakua machizi kabisa kiasi cha kutonitambua. Yani nikiwaonaga kitaa naiheshimu ngada kwa kweli wamechoka kinyama meno mdomoni hamna sio poa. Wacha wanyee debe #beertamu
Bila shaka ulikuwa mmoja wa wachangiaji wa nyuzi zilizoletwa na Warumi!Mmmh kivip mkuu?
Ni kweli mkuu...Bila shaka ulikuwa mmoja wa wachangiaji wa nyuzi zilizoletwa na Warumi!
Sasa mbona wamemuachia while nae alihusika?[emoji848][emoji848]Una habari mtoto wa lyumba ametoka
Kesi ya lindi,ila jamaa yk ndy alikula kifungoo
ova
Muda wa kuvunja vibubu huu. Role Model ametuachia hii kazi. Kazi na iendeleeNdio maana na yeye anauza karanga. Ili aje kuwa tajiri siku za mbeleni
Ndio.Ukishaanza kutumia unga meno yanatoka?
Cocaine mixed with saliva creates an extremely acidic solution that erodes tooth enamel and exposes the underlying dentine to decay-causing bacteria. Cocaine and crack cocaine cause dry mouth, which further increases the risk of tooth decay. Cocaine can cause tooth wear by tooth grinding (bruxism)Ukishaanza kutumia unga meno yanatoka?
Maana wengi ni mapengoNdio.
Warumi alikua Sauti Sol?Witnessj upo?
Hii avatar nikiiona inanikumbusha sana Warumi,
May his/her memory always be a blessing 🙏
Kwa utawala wa chief Hangaya hawa hawana muda mrefu watarudi mtaani kuendeleza mchakato tu.Hawa hawajamaliza mchakato wa kuapeal?
HakuhusikaSasa mbona wamemuachia while nae alihusika?[emoji848][emoji848]
No ngumu bd mambo magumu mzeeKwa utawala wa chief Hangaya hawa hawana muda mrefu watarudi mtaani kuendeleza mchakato tu.
"Kupanga nikuchagua" jiwe.
Hicho ndo walichokipanga na mahakama imeamua kuthibitisha uchaguzi wao.
Nawatakia maisha mema huko jera pia iwe fundisho wa waliobaki huku mtaani.