Kwahio ngumu hawatatoka auNo ngumu bd mambo magumu mzee
Hii biashara kufa ngumu mzee
Sema kingine hao wanaokamatwa
Kuna mambo ya ushahidi etc
Jinsi kesi inavyoendeshwa
Ova
Makonda na team yake waliwaekea Madawa ya kulevya kweli nsembo alikuwa anauza Unga na sio shamimu Sema nsembo hakuwa na Unga ndani kawekewa na kina makonda na team yake inauma sana na Mungu atamlipa makonda na uzao wake
Sheria msumeno unakula mbele na nyuma! Wapelekwe ustawi wa jamii.Nawasikitikia watoto wake jamani kama mzazi inauma sana.
Nawasikitikia watoto wake jamani kama mzazi inauma sana.
Dooh shamimu anawaacha kina iqra wadogo masikini
Daaah pole kwa wanae jamani,
Mimi nawaza kuhusu unyumba! Kwa hiyo papichu itazeekea jela!Kabisa.. Bora mmoja angetoka akalee Watoto.
HahahaMimi nawaza kuhusu unyumba! Kwa hiyo papichu itazeekea jela!
Kwa utawala wa chief Hangaya hawa hawana muda mrefu watarudi mtaani kuendeleza mchakato tu.
[emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]
ShAMIMu ndio Nani hapa Tanzania?Jela sio Mchezo Shamimu kapauka aiseeee.
Aaah ok ok[emoji848]Hakuhusika
Alimfata lindi bwana wake tu
Ila "m" nna bahati ya kukutana naye
Mwanzn nlikutana naye muhimbili alikuja
Tibiwa akiwa na pingu
Sahv nakutana naye plm village anapiga
Shopping
Ila alistahili kutoka alisota sana
Ova
Watatoka wale soon!mzee kashadanja waliobaki wepesi tu!trust me!Appeal vip bado?
[emoji1][emoji1][emoji2]yaani wee..kaaahNaiwaza papichu ya huyu dada, itazeeka hadi kuwa makunjokunjo jamani kama utumbo wa bata aliyetoka kumaliza kazi!
Naiwaza papichu ya huyu dada, itazeeka hadi kuwa makunjokunjo jamani kama utumbo wa bata aliyetoka kumaliza kazi!
Kha!
[emoji1][emoji1][emoji2]yaani wee..kaaah
Kumbe mnajuana eeeh!! Acheni kuuza madawa vijana mtazeekea Gerezani.Una habari mtoto wa lyumba ametoka
Kesi ya lindi,ila jamaa yk ndy alikula kifungoo
ova