Shamimu Mwasha na Abdul Nsembo wahukumiwa kwenda jela maisha baada ya kukutwa na hatia ya kusafirisha Dawa za Kulevya

Shamimu Mwasha na Abdul Nsembo wahukumiwa kwenda jela maisha baada ya kukutwa na hatia ya kusafirisha Dawa za Kulevya

Kumbe ulijua Nsembo alikuwa anauza unga? Kwa nini hukutoa taarifa kwa vyombo vya usalama? Na wewe inatakiwa unyakwe na kuunganishwa na akina Shamim!
Makonda na team yake waliwaekea Madawa ya kulevya kweli nsembo alikuwa anauza Unga na sio shamimu Sema nsembo hakuwa na Unga ndani kawekewa na kina makonda na team yake inauma sana na Mungu atamlipa makonda na uzao wake
 
Hakuhusika
Alimfata lindi bwana wake tu
Ila "m" nna bahati ya kukutana naye
Mwanzn nlikutana naye muhimbili alikuja
Tibiwa akiwa na pingu
Sahv nakutana naye plm village anapiga
Shopping
Ila alistahili kutoka alisota sana

Ova
Aaah ok ok[emoji848]
 
Back
Top Bottom