Dr Matola PhD
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 60,050
- 104,466
Sijui kisheria imekaaje ila wanaweza kukata rufaa kureview hukumu, sina hakika na muda wa kukaa rufaa ni muda gani au wakati wowote unaweza kukata rufaa mahakama ya juu kureview hukumu ya mtu.Yes lengo la kufungwa ni kurekebishwa tabia(Correctional department) ,yes kuna double standard sana , Skuba atakuwa kashatoka,nikiangalia scuba na abdul/shamim ni vidagaa kwake ,just imagine alikuwa under radar za US lakini allifungwa miaka 7 tu ,huku Shamim na mmewe nusu kilo tu wamefungwa maisha.
Hatutetei wauza madawa ila justice inatakiwa ,double standard haifai.
Hizi adhabu ndiyo walitakiwa wapewe Mafisadi wa Mali za Umma huko serekalini!!Yes lengo la kufungwa ni kurekebishwa tabia(Correctional department) ,yes kuna double standard sana , Skuba atakuwa kashatoka,nikiangalia scuba na abdul/shamim ni vidagaa kwake ,just imagine alikuwa under radar za US lakini allifungwa miaka 7 tu ,huku Shamim na mmewe nusu kilo tu wamefungwa maisha.
Hatutetei wauza madawa ila justice inatakiwa ,double standard haifai.
Amelaaniwa yeye na kizazi chake.Pole yao.
Makonda alitumia silaha ya madawa ya kulevya kuwaangamiza wabaya wake.
Siku yake haipo mbali atakapo vuna alichopanda.
sjui kwann nimechekatamaa za mademu wa kibongo zinakera mno
Hiyo mmoja ni muigizaji anatumia jina la dr cheni kama sikosei..huangaliagi bongo movie?Mimi siwafahamu
Kwan pusha anamlazimisha teja kununua madawa?? Yeye anauza tu anataka hela, hilo la matumizi mtajua wenyewe....pusha hana makosakama imethibitika kabisa pasi na shaka kwamba walikuwa ni pusha,basi hiyo hukumu pengine ni ndogo pia. Hasa ukianza kuwaangalia matejanwanavyo hangaika na drugs adiction.Pushas wanastahili huku kalo.
👎👎👎👎Hiyo mmoja ni muigizaji anatumia jina la dr cheni kama sikosei..huangaliagi bongo movie?
Giza totoroDunia inapojaa giza.
Anapigwa pipe
Kuna code nyingine tena????Hii code nilipata mapema sana dah....
Ova
Unawaombea kwa lipi, muuza madawa ni muuaji, je hao watu waliowaharibu akili waliwaombea kabla ya kuwauzia madawa?Muendelee kuwaombea hawa
Hiyo mmoja ni muigizaji anatumia jina la dr cheni kama sikosei..huangaliagi bongo movie?
Hapana sio Dr cheniHiyo mmoja ni muigizaji anatumia jina la dr cheni kama sikosei..huangaliagi bongo movie?
Ameshatoka Jela au bado anafukuzana na kunguni?Shamimu