Dr Matola PhD
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 60,050
- 104,466
Sijui kisheria imekaaje ila wanaweza kukata rufaa kureview hukumu, sina hakika na muda wa kukaa rufaa ni muda gani au wakati wowote unaweza kukata rufaa mahakama ya juu kureview hukumu ya mtu.Yes lengo la kufungwa ni kurekebishwa tabia(Correctional department) ,yes kuna double standard sana , Skuba atakuwa kashatoka,nikiangalia scuba na abdul/shamim ni vidagaa kwake ,just imagine alikuwa under radar za US lakini allifungwa miaka 7 tu ,huku Shamim na mmewe nusu kilo tu wamefungwa maisha.
Hatutetei wauza madawa ila justice inatakiwa ,double standard haifai.