Shamimu Mwasha na Abdul Nsembo wahukumiwa kwenda jela maisha baada ya kukutwa na hatia ya kusafirisha Dawa za Kulevya

Shamimu Mwasha na Abdul Nsembo wahukumiwa kwenda jela maisha baada ya kukutwa na hatia ya kusafirisha Dawa za Kulevya

Yes lengo la kufungwa ni kurekebishwa tabia(Correctional department) ,yes kuna double standard sana , Skuba atakuwa kashatoka,nikiangalia scuba na abdul/shamim ni vidagaa kwake ,just imagine alikuwa under radar za US lakini allifungwa miaka 7 tu ,huku Shamim na mmewe nusu kilo tu wamefungwa maisha.

Hatutetei wauza madawa ila justice inatakiwa ,double standard haifai.
Sijui kisheria imekaaje ila wanaweza kukata rufaa kureview hukumu, sina hakika na muda wa kukaa rufaa ni muda gani au wakati wowote unaweza kukata rufaa mahakama ya juu kureview hukumu ya mtu.
 
Yes lengo la kufungwa ni kurekebishwa tabia(Correctional department) ,yes kuna double standard sana , Skuba atakuwa kashatoka,nikiangalia scuba na abdul/shamim ni vidagaa kwake ,just imagine alikuwa under radar za US lakini allifungwa miaka 7 tu ,huku Shamim na mmewe nusu kilo tu wamefungwa maisha.

Hatutetei wauza madawa ila justice inatakiwa ,double standard haifai.
Hizi adhabu ndiyo walitakiwa wapewe Mafisadi wa Mali za Umma huko serekalini!!
 
kama imethibitika kabisa pasi na shaka kwamba walikuwa ni pusha,basi hiyo hukumu pengine ni ndogo pia. Hasa ukianza kuwaangalia matejanwanavyo hangaika na drugs adiction.Pushas wanastahili huku kalo.
Kwan pusha anamlazimisha teja kununua madawa?? Yeye anauza tu anataka hela, hilo la matumizi mtajua wenyewe....pusha hana makosa
 
Hawa wauza sembe wanaenda jela maisha. Wale washenzi wanaokula pesa za wananchi wapo mijini wakitesa na V8 za rushwa na ufisadi huku wakitimulia mavumbi wananchi wenye njaa kali.
 
Back
Top Bottom