Shamimu Mwasha na Abdul Nsembo wahukumiwa kwenda jela maisha baada ya kukutwa na hatia ya kusafirisha Dawa za Kulevya

kilikua kichaka kile, sawa na hawa wenye maduka ya nguo kino na sinza
 
Inauma na inachoma shamimu kufungwa maisha na dada wa watu hauzi Unga na aliewaekea Unga ni makonda huyu makonda huyu Mungu atamuonesha kabla hajafa na uzao wake ni Roho mbaya sana.
Mume wake Ni muuza unga maarufu wa siku nyingi, wewe unawafahamu vzr hadi umsingizie makonda?
Kamuulize da mange atakwambia

Sent from my Infinix X5515 using JamiiForums mobile app
 
...Ndio nami ninapochoka hapo Mkuu! Gramu chache hizo alizokamatwa Nazo ndio kifungo cha Maisha???
Hawa yunaowasikia kuwa wanavusha kwa magunia na makonteina?
Dah maisha haya 🙌
na hapo huwezi jua eiza ni kweli wayafanya hayo ama kuna binadamu aliamua kuwafanyia Ivo kumwekea kwenye usafiri wao awachome/awakomoe.... no one knows.
hatari sana haya maisha ,kikubwa tusijudge moja Kwa moja maana si wote waendao jela wana makosa Ile kikwelikweli.
 
angekuwa mwanaume angemtetea mkewe ili aachiwe akalee familia.... au ndio walijichanganya??
 

Na wengi wana haribiwa na maisha ya instagram sasa yakikuta au yawakute unao wajua kwakweli inauma!

Mimi hawa siwajui lakini nimestuka sana na nimeogopa na kuumizwa lakini ndio maisha walio chagua lakini inaumiza sana na kuogopesha ni kama hukumu ya kifo.

Bado wale ndugu wa Aunt ezekiel na wale wake zake waliokututwa sijui na kilo ngapi aisee inaogopesha sana jamani!

Hii inaitwa Mama mkanye mwanao!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…