Destruction
JF-Expert Member
- Feb 3, 2020
- 260
- 418
Picha picha zikoapiYaani amekonda kawa Kama mzee! Jela sio pazuri
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Picha picha zikoapiYaani amekonda kawa Kama mzee! Jela sio pazuri
Kwa kuangalia nn?Hukumu iliyotolewa ni kali sana. Ningekua Hakimu ningewapunguzia kidogo
Win or Lose nipart of the game-they must have take it, endure it and proceeds with another type of life. Because life isn't as nice as you want.Mwanamitindo Shamimu Mwasha na mfanyabiashara Abdul Nsembo wamehukumiwa kifungo cha Maisha na mahakama kuu kitengo cha divisheni ya Makosa ya Uhujumu uchumi....
Sababu ya tishio la awali kupanga kumfunga ilikuwa nini? I mean kabla ya kumwekea [if that] ngada.
Be responsible, si kila makosa ya mwanaume lazima zigo atupiwe mwanamke. Angeweza kuchagua njia nyingine sahihi.Tatizo misemo ya "woga wako ndio umaskini wako" siku hizi wadada wanaishadadia sana.
Msichana yuko tayari kukuona hata unaua ili mradi uwe na pesa,na utapendwa kama malaika.
Thamani ya utu wa mwanamke imeshuka kwa sababu ya wao kujifanya bidhaa inayoweza kununuliwa kwa pesa bila kujali ni za majini,mizimu au za damu.
Umeongea point kweli....haya mambo ya shotcut au kutaka upige hela ili uje umfirahishe mwanamke unaweza jikuta unaingia sehemu siyoTatizo misemo ya "woga wako ndio umaskini wako" siku hizi wadada wanaishadadia sana.
Msichana yuko tayari kukuona hata unaua ili mradi uwe na pesa,na utapendwa kama malaika.
Thamani ya utu wa mwanamke imeshuka kwa sababu ya wao kujifanya bidhaa inayoweza kununuliwa kwa pesa bila kujali ni za majini,mizimu au za damu.
Kipindi kile walikuwa watu wote waliokuwa wanajulikana wauza Unga waliwekewa Unga hakuna muuza Unga kwa kipindi kile anaeweza kuweka Unga ndani tena kwenye mkoba.
Si kweli kuna hadithi nyingi tu zikimhusisha huyu Abdul na unga, fuatilia. Shamim ina maana alijua hilo.Inauma na inachoma shamimu kufungwa maisha na dada wa watu hauzi Unga na aliewaekea Unga ni makonda huyu makonda huyu Mungu atamuonesha kabla hajafa na uzao wake ni Roho mbaya sana.
Kademu kapo mahabusu ila kang'aaa ng'ari ng'ari kwanini nisiwe nyapara jamanii nikajipigieeeNilijua tu hiyo inafuata
Hizi kesi za madawa sahvi
Hukumu zake syo mchezo
Ova
Duh!
Ebu declare interest kuhusu hao wafungwa tafadhari, maana sio kwa povu hili mkuu.
tupe shule mkuu inakuaje hiiKifungo cha maisha???siyo ndio njia ya kukata rufaa ili waachiwe.
Hapa ndio ali haribu, hata akikata rufaa hiyi ina mbana ya kukili, ilitakiwa wapambane mahakamani. Ukikili tu umeishaLicha ya Abdul Kukiri kwa DPP asamehewe haijasaidia kitu.
Lazima alijua fika mipango ya mme wakeSi kweli kuna hadithi nyingi tu zikimhusisha huyu Abdul na unga, fuatilia. Shamim ina maana alijua hilo.