Shamimu Mwasha na Abdul Nsembo wahukumiwa kwenda jela maisha baada ya kukutwa na hatia ya kusafirisha Dawa za Kulevya

Shamimu Mwasha na Abdul Nsembo wahukumiwa kwenda jela maisha baada ya kukutwa na hatia ya kusafirisha Dawa za Kulevya

Mwanamitindo Shamimu Mwasha na mfanyabiashara Abdul Nsembo wamehukumiwa kifungo cha Maisha na mahakama kuu kitengo cha divisheni ya Makosa ya Uhujumu uchumi....
Win or Lose nipart of the game-they must have take it, endure it and proceeds with another type of life. Because life isn't as nice as you want.
 
Tatizo misemo ya "woga wako ndio umaskini wako" siku hizi wadada wanaishadadia sana.

Msichana yuko tayari kukuona hata unaua ili mradi uwe na pesa,na utapendwa kama malaika.

Thamani ya utu wa mwanamke imeshuka kwa sababu ya wao kujifanya bidhaa inayoweza kununuliwa kwa pesa bila kujali ni za majini,mizimu au za damu.
Be responsible, si kila makosa ya mwanaume lazima zigo atupiwe mwanamke. Angeweza kuchagua njia nyingine sahihi.

Hizo ni tabia ya kuwa over ambitious, umiliki kila kitu kizuri kuanzia mke, nyumba, magari, umwamba, heshima etc. Ndizo huwapekelea watu kujiingiza katika biashara hizi.

Tabia ya kuwa over ambitious zipo kwa jinsia zote ndio maana kila leo watu hufanya mambo illegal ili wapate pesa nyingi, Shamimu ni mdada wa mjini hasa, alimuacha mume wake wa mwanzo ili aolewe na Abdul, wote walioana wanapenda makubwa kwa njia yoyote ile, here we are.
 
Tatizo misemo ya "woga wako ndio umaskini wako" siku hizi wadada wanaishadadia sana.

Msichana yuko tayari kukuona hata unaua ili mradi uwe na pesa,na utapendwa kama malaika.

Thamani ya utu wa mwanamke imeshuka kwa sababu ya wao kujifanya bidhaa inayoweza kununuliwa kwa pesa bila kujali ni za majini,mizimu au za damu.
Umeongea point kweli....haya mambo ya shotcut au kutaka upige hela ili uje umfirahishe mwanamke unaweza jikuta unaingia sehemu siyo

Ova
 
Back
Top Bottom