Shamimu Mwasha na Abdul Nsembo wahukumiwa kwenda jela maisha baada ya kukutwa na hatia ya kusafirisha Dawa za Kulevya

Shamimu Mwasha na Abdul Nsembo wahukumiwa kwenda jela maisha baada ya kukutwa na hatia ya kusafirisha Dawa za Kulevya

Si abdul alisema anaushahidi wa camera
Cctv ataupeleka mahakamani!
Tatizo kuna ligi kama alitaka anzisha

Ova
Angekaza tu mzee baba. CCTV camera kitu gani. Hazina sauti na hazitoi detaiz za ulichonacho .. hata kama unga kwa CCTV bado nakukataa labada kama CCTV zinazo scan na ku display details za mzigo ila hizi za kawaida na kukataaa tu. Ligi ingemtoa kwenye kifungo cha maisha.. sasa Shamimu ndio atomb.wi tena hadi afie huko ? au wanatutania
 
Dah hapa naona hukumu ndogo sana hii.
Hapa ilitakiwa wadedishwe tuu.
Ila hii couple safi nimeikubali bora nisote jela ila bata nilikula.
 
Back
Top Bottom