Makiwendo
JF-Expert Member
- Aug 12, 2015
- 9,980
- 34,404
Kabisa.. Bora mmoja angetoka akalee Watoto.Jamani watoto wao, Kheri Shamim angetoka awalee watoto.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kabisa.. Bora mmoja angetoka akalee Watoto.Jamani watoto wao, Kheri Shamim angetoka awalee watoto.
Nakukubal sana mkuu hujui tu moja ya member wangu makin sana mm ni shabik yako kindaki ndakiHii code nilipata mapema sana dah....
Ova
Si abdul alisema anaushahidi wa cameraHapa ndio ali haribu, hata akikata rufaa hiyi ina mbana ya kukili, ilitakiwa wapambane mahakamani. Ukikili tu umeisha
Wametaja gari tu ,ina maana nyumba walikuwa hawana?Mbaya zaidi na mali zao zinataifishwa.
Shortcut is always a wrong cut!!
KWA SHERIA IPI?Jamani watoto wao, Kheri Shamim angetoka awalee watoto.
Hahahah kawaida tuNakukubal sana mkuu hujui tu moja ya member wangu makin sana mm ni shabik yako kindaki ndaki
Unataka ukawachukue?Watoto wao wana miaka mingapi???
Angekaza tu mzee baba. CCTV camera kitu gani. Hazina sauti na hazitoi detaiz za ulichonacho .. hata kama unga kwa CCTV bado nakukataa labada kama CCTV zinazo scan na ku display details za mzigo ila hizi za kawaida na kukataaa tu. Ligi ingemtoa kwenye kifungo cha maisha.. sasa Shamimu ndio atomb.wi tena hadi afie huko ? au wanatutaniaSi abdul alisema anaushahidi wa camera
Cctv ataupeleka mahakamani!
Tatizo kuna ligi kama alitaka anzisha
Ova
Kuna siku 30 za kukata rufaaHukumu iliyotolewa ni kali sana. Ningekua Hakimu ningewapunguzia kidogo
kwa sababu ni wanandoa basi wapewe chumba kufurahia ndoa huko kwenye makazi yao mapyaHukumu iliyotolewa ni kali sana. Ningekua Hakimu ningewapunguzia kidogo
Wee hapo ata mbususu unaiona kama sumu tuukwa sababu ni wanandoa basi wapewe chumba kufurahia ndoa huko kwenye makazi yao mapya
nasikia alikutwa na sh. milioni 1 tu badala ya yale mabilioni takukuru wakanusha aisee hi nchi acha tuJela pia ni sehemu ya maisha, Tunasubiri pia kesi kuunguruma za wale walioficha 'mabilioni' ya umma vyumbani mwao !
Kwanchi zetu nadhani sheria hairuhusukwa sababu ni wanandoa basi wapewe chumba kufurahia ndoa huko kwenye makazi yao mapya
Naona watetenezi wao wanakuja kwa kasiHebu fafanua kidogo mkuu
Sio Hakimu Ila Ni JajiHukumu iliyotolewa ni kali sana. Ningekua Hakimu ningewapunguzia kidogo