Shamimu Mwasha na Abdul Nsembo wahukumiwa kwenda jela maisha baada ya kukutwa na hatia ya kusafirisha Dawa za Kulevya

Shamimu Mwasha na Abdul Nsembo wahukumiwa kwenda jela maisha baada ya kukutwa na hatia ya kusafirisha Dawa za Kulevya

Huu uzi inabidi kamishna wa kuzuia na kupambana na madawa, akusanye watu kama hawa.. sio wa kuwaachia hata kidogo.. wakifika pale wakipigwa popo mbili zavuka mto, wataongea kila kitu
Hiyo popo mbili zavuka myo ndo nn mkuu wengine tumekuja mjini na gari za mbuzi[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Acha roho ya kichawi wewe hujawahi kukosea aisee
Tulia wewez Kamishana Afanye kazi yake. Humu humu inabidi watu wakwapuliwe wakatoe maelezo ya nyongeza. Tanzania bila madawa ya kulevya ( haramu ) inawezekan.. na jiandae nitakuroga usiku wa leo nitakutimbia kama popo bawa ndio ujue hujui kuita watu wachawi 🤨🤨🤨
 
Hivi hukumu ya kukutwa na ngada gram200 ni kifungo cha maisha jela?? wasije wakawa wanatuchezea akili!

Kuna clip ina trend mitandaoni abdul akiwa anawaambia ndugu zake ‘wasilie’ na watulie kabisa, ushindi ni wao

Kuna hakim mmoja alimhukumu mwizi wa kuku miaka 200 jela na kaxi ngumu juu., kumbe nyuma ya pazia mlungula ulitembea, baada ya wiki ‘mwizi wa kuku’ akawa huru mtaani anaranda randa huku wana nzengo wakiwa bado wana weweseka na hukumu ya miaka200!!!
 
Be responsible, si kila makosa ya mwanaume lazima zigo atupiwe mwanamke. Angeweza kuchagua njia nyingine sahihi.

Hizo ni tabia ya kuwa over ambitious, umiliki kila kitu kizuri kuanzia mke, nyumba, magari, umwamba, heshima etc. Ndizo huwapekelea watu kujiingiza katika biashara hizi.

Tabia ya kuwa over ambitious zipo kwa jinsia zote ndio maana kila leo watu hufanya mambo illegal ili wapate pesa nyingi, Shamimu ni mdada wa mjini hasa, alimuacha mume wake wa mwanzo ili aolewe na Abdul, wote walioana wanapenda makubwa kwa njia yoyote ile, here we are.
Kama unayo sema ni kweli basi mshahara wake huo ameupata
 
Hiyo popo mbili zavuka myo ndo nn mkuu wengine tumekuja mjini na gari za mbuzi[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hii muhalifu mtata akishikwa na akagoma kuongea ukweli huwa anapigwa hii. Acha kabisa.. alafu hii kadri unavyotulia ndio inazidi kuuma, ukienda kukojia mkojo hutoki ila maumivu yake sasa ni shidaa.. uki force unakojoa damuu.. kufa hufi ila moto wake asaleeeee.. utajutraaa
 
Huu utetez sijaukubal labda ungesema bashite alikua anajua biashara za nsembo labda ukatokea ugomvi bashite kaamua kumchoma lakn sio eti alimuwekea dawa nyumban
Kwa akili yako Msukuma powder anayeijua kazi yake proper anaweza kuuweka nyumbani kwake kweli??
 
Tulia wewez Kamishana Afanye kazi yake. Humu humu inabidi watu wakwapuliwe wakatoe maelezo ya nyongeza. Tanzania bila madawa ya kulevya ( haramu ) inawezekan.. na jiandae nitakuroga usiku wa leo nitakutimbia kama popo bawa ndio ujue hujui kuita watu wachawi [emoji2955][emoji2955][emoji2955]
Acha ujinga anayefurahia majanga ya wengine ni mchawi na sadist asiye na furaha maisha mwake, Mimi silogeki mkuu na siwezi furahia matatizo ya wengine
 
Acha ujinga anayefurahia majanga ya wengine ni mchawi na sadist asiye na furaha maisha mwake, Mimi silogeki mkuu na siwezi furahia matatizo ya wengine
Tulia usiku wa leo ndio utajua hujui lazima nifanye anayofanya popo bawa, ndio utajua kama unalogeka au holegeki. Ungenifatilia toka mwanzo usingesema nafurahi hawa watu wapate nimetete sana hawa na kuonesha hata namba gani wangenasuka, sasa unakulupuka kuanza niita mchawi, nitakuonesha usiku wa leo 🤕🤕🤕🤕
 
Wale vijana rafiki zao aunty ezekiel na wema kina allu mulugwa. Said mbasha,Joseph dalidali na fetty waliokamatwa na kg 31 heroin wajiandae kula mvua ya maisha. Maana nsembo na pesa sake zote kashindwa kuchomoka wao makapuku na mzigo mkubwa waliokutwa nao.
Hivi yule fetty ni kile kidada wema anasemaga ni mdogo wake kina macho yamelegea?

Au naomba picha zao kama hutajali
 
Nsembo ameanza kuuza ngada siku nyingi sanaaa!Shamim ni accomplice kwa sababu askari walivofika kwao alipoulizwa mmewe alipo alidanganya askari akasema kasafiri for two weeks walivotoka tu nje wakaskia kishindo(kumbe mshikaji anaruka kutoka darini)wakavamia wakamkuta ndo wakawakamata wote wawili(kwa mujibu wa nlivoskia hukooo kwa watu wa mbezi beach)s
stori ya kitoto....askari walikwenda kusachi nyumba wasingeweza kuondoka kiboya namna hiyo
 
Acha ujinga anayefurahia majanga ya wengine ni mchawi na sadist asiye na furaha maisha mwake, Mimi silogeki mkuu na siwezi furahia matatizo ya wengine
Nafikiri kama umesoma ambapo nime ku mention umenielewa. Commentza zangu nyingi serious humu zimelenga utu wa mwandamu na msamaha, na adhabu kupunguzwa ingawa kila kosa lina ujira wake. Hapa naona unashambulia hujui kuwa hao nilikuwa nataniana nao, Ila sasa kwakua umeniita mchawi nitakuonesha.. usiku wa leo jipange vizuri sana.. sinaga utani mkuu. Hujakosea kabisa kuniita mchawi nitazaa na wewe
 
Back
Top Bottom