Nyani Mzee Snr
JF-Expert Member
- Feb 4, 2021
- 12,122
- 42,743
Una unogelea na kijiji cha pisi kali 😀😀Acha mzee hatari yaani balaaa tupu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Una unogelea na kijiji cha pisi kali 😀😀Acha mzee hatari yaani balaaa tupu
Miaka 7, acha uduanz unajua maafa walosababisha katika jamii au ww ndo wale bendera fuata upepoHukumu iliyotolewa ni kali kupita kiasi. Wangepunguziwa kidogo hata kifungo cha miaka 7 na faini. Mawakili wao wasaidie kwa kweli.
Hiyo popo mbili zavuka myo ndo nn mkuu wengine tumekuja mjini na gari za mbuzi[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Huu uzi inabidi kamishna wa kuzuia na kupambana na madawa, akusanye watu kama hawa.. sio wa kuwaachia hata kidogo.. wakifika pale wakipigwa popo mbili zavuka mto, wataongea kila kitu
Tulia wewez Kamishana Afanye kazi yake. Humu humu inabidi watu wakwapuliwe wakatoe maelezo ya nyongeza. Tanzania bila madawa ya kulevya ( haramu ) inawezekan.. na jiandae nitakuroga usiku wa leo nitakutimbia kama popo bawa ndio ujue hujui kuita watu wachawi 🤨🤨🤨Acha roho ya kichawi wewe hujawahi kukosea aisee
Kama unayo sema ni kweli basi mshahara wake huo ameupataBe responsible, si kila makosa ya mwanaume lazima zigo atupiwe mwanamke. Angeweza kuchagua njia nyingine sahihi.
Hizo ni tabia ya kuwa over ambitious, umiliki kila kitu kizuri kuanzia mke, nyumba, magari, umwamba, heshima etc. Ndizo huwapekelea watu kujiingiza katika biashara hizi.
Tabia ya kuwa over ambitious zipo kwa jinsia zote ndio maana kila leo watu hufanya mambo illegal ili wapate pesa nyingi, Shamimu ni mdada wa mjini hasa, alimuacha mume wake wa mwanzo ili aolewe na Abdul, wote walioana wanapenda makubwa kwa njia yoyote ile, here we are.
Huwaga mnaelewa kilichoandikwa huwa mnajibu tu ili mradi jamani.Unataka kusema kwamba hawakupewa nafasi ya mitigation, baada ya kuwa convicted? Mitigation inatolewa ukiwa convicted, kabla ya sentence. Hawawezi kumitigate at appeal level.
Hii muhalifu mtata akishikwa na akagoma kuongea ukweli huwa anapigwa hii. Acha kabisa.. alafu hii kadri unavyotulia ndio inazidi kuuma, ukienda kukojia mkojo hutoki ila maumivu yake sasa ni shidaa.. uki force unakojoa damuu.. kufa hufi ila moto wake asaleeeee.. utajutraaaHiyo popo mbili zavuka myo ndo nn mkuu wengine tumekuja mjini na gari za mbuzi[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kwa akili yako Msukuma powder anayeijua kazi yake proper anaweza kuuweka nyumbani kwake kweli??Huu utetez sijaukubal labda ungesema bashite alikua anajua biashara za nsembo labda ukatokea ugomvi bashite kaamua kumchoma lakn sio eti alimuwekea dawa nyumban
Acha ujinga anayefurahia majanga ya wengine ni mchawi na sadist asiye na furaha maisha mwake, Mimi silogeki mkuu na siwezi furahia matatizo ya wengineTulia wewez Kamishana Afanye kazi yake. Humu humu inabidi watu wakwapuliwe wakatoe maelezo ya nyongeza. Tanzania bila madawa ya kulevya ( haramu ) inawezekan.. na jiandae nitakuroga usiku wa leo nitakutimbia kama popo bawa ndio ujue hujui kuita watu wachawi [emoji2955][emoji2955][emoji2955]
Asee vimefanana balaa mkuu, mi nikajua twin asee[emoji848]Wale si mapacha,mmoja wa Shamimu kwa ndia yake ya kwanza yule mwingine wa Abdul kwa mdada gani huko sijui.
Inauma na inachoma shamimu kufungwa maisha na dada wa watu hauzi Unga na aliewaekea Unga ni makonda huyu makonda huyu Mungu atamuonesha kabla hajafa na uzao wake ni Roho mbaya sana.
Tulia usiku wa leo ndio utajua hujui lazima nifanye anayofanya popo bawa, ndio utajua kama unalogeka au holegeki. Ungenifatilia toka mwanzo usingesema nafurahi hawa watu wapate nimetete sana hawa na kuonesha hata namba gani wangenasuka, sasa unakulupuka kuanza niita mchawi, nitakuonesha usiku wa leo 🤕🤕🤕🤕Acha ujinga anayefurahia majanga ya wengine ni mchawi na sadist asiye na furaha maisha mwake, Mimi silogeki mkuu na siwezi furahia matatizo ya wengine
HaaahaaaMno jamani..ukilala unaamka sanane usiku unawaza unakwama wapi[emoji28]
Wanaotuhumiwa kwa corruption wakiwa wanapata vifungo kama hivi mahakamani, basi Afrika tungekuwa mbele kiuchumi sana tu 🤔Jela pia ni sehemu ya maisha, Tunasubiri pia kesi kuunguruma za wale walioficha 'mabilioni' ya umma vyumbani mwao !
Hivi yule fetty ni kile kidada wema anasemaga ni mdogo wake kina macho yamelegea?Wale vijana rafiki zao aunty ezekiel na wema kina allu mulugwa. Said mbasha,Joseph dalidali na fetty waliokamatwa na kg 31 heroin wajiandae kula mvua ya maisha. Maana nsembo na pesa sake zote kashindwa kuchomoka wao makapuku na mzigo mkubwa waliokutwa nao.
stori ya kitoto....askari walikwenda kusachi nyumba wasingeweza kuondoka kiboya namna hiyoNsembo ameanza kuuza ngada siku nyingi sanaaa!Shamim ni accomplice kwa sababu askari walivofika kwao alipoulizwa mmewe alipo alidanganya askari akasema kasafiri for two weeks walivotoka tu nje wakaskia kishindo(kumbe mshikaji anaruka kutoka darini)wakavamia wakamkuta ndo wakawakamata wote wawili(kwa mujibu wa nlivoskia hukooo kwa watu wa mbezi beach)s
"...Ungekuwa hakimu" bahati mbaya hukumu imetolewa na Jaji...Hukumu iliyotolewa ni kali sana. Ningekua Hakimu ningewapunguzia kidogo
Nafikiri kama umesoma ambapo nime ku mention umenielewa. Commentza zangu nyingi serious humu zimelenga utu wa mwandamu na msamaha, na adhabu kupunguzwa ingawa kila kosa lina ujira wake. Hapa naona unashambulia hujui kuwa hao nilikuwa nataniana nao, Ila sasa kwakua umeniita mchawi nitakuonesha.. usiku wa leo jipange vizuri sana.. sinaga utani mkuu. Hujakosea kabisa kuniita mchawi nitazaa na weweAcha ujinga anayefurahia majanga ya wengine ni mchawi na sadist asiye na furaha maisha mwake, Mimi silogeki mkuu na siwezi furahia matatizo ya wengine