Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Upara ni lazima kila mfungwa, hivyo jibu lako ni ndiyo.Weee sasa amenyoa para nayeye? Wanaonana na mmewe? Msosi anakula wa huko?
Maswali ya ajabu kweli, unaweza kuhisi huyo shamimu ni malaika fulani hivi ambae hapaswi kuwa sawa na wafungwa wengineMaswali yako naona hadi uvivu kuyajibu mkuu.
Bwana mdogo acha kuwa legelege wewe ni mwanaume. Kujibu tu hayo maswali tu unaona uvivu. Je ukipelekwa kulima bustani itakuwaje?Maswali yako naona hadi uvivu kuyajibu mkuu.
Yule ni mzee wazee kulalamika ni kawaida hakuna anaemtisha he is not that importantmbona nasikia Lemutuz @W J. malecela akilalamika huko Insta anatishiwa kutupwa korokoroni na wauza Unga?
Asante mkuu hujakosea mimi ni mtoto soma tena jina languUpara ni lazima kila mfungwa, hivyo jibu lako ni ndiyo.
Wanaonana na mmewe? Hili swali linapaswa kuulizwa na mtoto. Hata hivyo nakusaidia tu, jela za wanaume na wanawake ni tofauti mbalimbali.
Msosi anakula wa huko? Hili swali nalo, kwani huyu shamimu ni nani? Msosi wote ni hapohapo jela, au unafikiri mfungwa anaweza kula msosi wa nje?
Anayeweza kula msosi wa nje ni mahabusu, na yenyewe utachoka tu maana nani kila siku asubuhi na jioni atakuja kukuletea msosi?
Tena hao ni wafungwa wa majsha, Bora wale wa vifungo vya miaka hupata nafasi ya kutoka hata nje kwenda kufanya kazi
Mkuu mi sjasoma kabisa so hapa shule zetu unazionea they ga natin to do wima ignorancemjibu mkuu ni matokeo ya shule zetu. mpaka mtu anamiliki smartphone tena anaifahamu JF hajui maisha ya Gerezani. so sad
Lazima akonde mkuu maisha mapya ya gerezani tena hayana tumaini la kutoka duuh.Shamimu kakonda hatari..kachakaa mno yani..sema wamempa unyampara.
Unawahurumia watoto wawili tu? Vipi maelfu ya vijana wanaoangamia kwa kuwauzia unga?Daah bora atoke .wale watoto maskini.ila monica ana roho ya dhahabu aisee.amewabeba kama wa kwake
Pole yao.Inauma na inachoma shamimu kufungwa maisha na dada wa watu hauzi Unga na aliewaekea Unga ni makonda huyu makonda huyu Mungu atamuonesha kabla hajafa na uzao wake ni Roho mbaya sana.
Mungu wangu nyiee!waongezewe 30 zaidi, watoto wapelekwe 'ofaneji'
Monica ni nani mkuuDaah bora atoke .wale watoto maskini.ila monica ana roho ya dhahabu aisee.amewabeba kama wa kwake
Shamimu kakonda hatari..kachakaa mno yani..sema wamempa unyampara.
Siungi mkono biashara ya unga lakini Bongo kuna vifungo vya kukomowana na siyo kumrekebisha mtu tabia.Daaah inasikitisha sana!! Adhabu kubwa sana! Mtoto wa Liyumba alikutwa na magunia ya unga lakini alitoka iweje hawa wakutwe na nusu kilo wafungwe Maisha? Masogange(M.A.P) alikamatwa na viroba vya sembe lakini alitoka.
Siungi mkono biashara ya unga lakini Bongo kuna vifungo vya kukomowana na siyo kumrekebisha mtu tabia.
Yule Skuba ambaye FBI waliomba Tanzania akabidhiwe kwao na akasafirishwa Marekani alihukumiwa Marekani na anakaribia kumaliza kifungo chake na ataungana na familia yake, na usikute ameshatoka Mimi ndio sina updates zake.
Daaah inasikitisha sana!! Adhabu kubwa sana! Mtoto wa Liyumba alikutwa na magunia ya unga lakini alitoka iweje hawa wakutwe na nusu kilo wafungwe Maisha? Masogange(M.A.P) alikamatwa na viroba vya sembe lakini alitoka.