Shamimu Mwasha na Abdul Nsembo wahukumiwa kwenda jela maisha baada ya kukutwa na hatia ya kusafirisha Dawa za Kulevya

Kwa hiyo mhalifu hapaswi kufungwa sababu ana watoto?
Shangaaa bongo mkuu. hata mahakamani mhalifu ambiwapo na Na hakimu ajitetea husema asamehewa au apunguziwe adhabu ya kifungo kwa kuwa ana watoto[emoji125][emoji125]
 
Weee sasa amenyoa para nayeye? Wanaonana na mmewe? Msosi anakula wa huko?
Upara ni lazima kila mfungwa, hivyo jibu lako ni ndiyo.
Wanaonana na mmewe? Hili swali linapaswa kuulizwa na mtoto. Hata hivyo nakusaidia tu, jela za wanaume na wanawake ni tofauti mbalimbali.
Msosi anakula wa huko? Hili swali nalo, kwani huyu shamimu ni nani? Msosi wote ni hapohapo jela, au unafikiri mfungwa anaweza kula msosi wa nje?
Anayeweza kula msosi wa nje ni mahabusu, na yenyewe utachoka tu maana nani kila siku asubuhi na jioni atakuja kukuletea msosi?
Tena hao ni wafungwa wa majsha, Bora wale wa vifungo vya miaka hupata nafasi ya kutoka hata nje kwenda kufanya kazi
 
huyu.mwasha ataenda kuwa mke wa bwana nyapara wa gereza mimi pia na bwana mdogo ndo.ishu zake nilishamwambia siku yakikukuta wewe tupe taarifa tu then iendelee na matatizo yako.
 
mbona nasikia Lemutuz @W J. malecela akilalamika huko Insta anatishiwa kutupwa korokoroni na wauza Unga?
Yule ni mzee wazee kulalamika ni kawaida hakuna anaemtisha he is not that important
 
Upara ni lazima kila mfungwa, hivyo jibu lako ni ndiyo.
Wanaonana na mmewe? Hili swali linapaswa kuulizwa na mtoto. Hata hivyo nakusaidia tu, jela za wanaume na wanawake ni tofauti mbalimbali.
Msosi anakula wa huko? Hili swali nalo, kwani huyu shamimu ni nani? Msosi wote ni hapohapo jela, au unafikiri mfungwa anaweza kula msosi wa nje?
Anayeweza kula msosi wa nje ni mahabusu, na yenyewe utachoka tu maana nani kila siku asubuhi na jioni atakuja kukuletea msosi?
Tena hao ni wafungwa wa majsha, Bora wale wa vifungo vya miaka hupata nafasi ya kutoka hata nje kwenda kufanya kazi
Asante mkuu hujakosea mimi ni mtoto soma tena jina langu
 
mjibu mkuu ni matokeo ya shule zetu. mpaka mtu anamiliki smartphone tena anaifahamu JF hajui maisha ya Gerezani. so sad
Mkuu mi sjasoma kabisa so hapa shule zetu unazionea they ga natin to do wima ignorance
 
Inauma na inachoma shamimu kufungwa maisha na dada wa watu hauzi Unga na aliewaekea Unga ni makonda huyu makonda huyu Mungu atamuonesha kabla hajafa na uzao wake ni Roho mbaya sana.
Pole yao.
Makonda alitumia silaha ya madawa ya kulevya kuwaangamiza wabaya wake.
Siku yake haipo mbali atakapo vuna alichopanda.
 
Shamimu kakonda hatari..kachakaa mno yani..sema wamempa unyampara.

Daaah inasikitisha sana!! Adhabu kubwa sana! Mtoto wa Liyumba alikutwa na magunia ya unga lakini alitoka iweje hawa wakutwe na nusu kilo wafungwe Maisha? Masogange(M.A.P) alikamatwa na viroba vya sembe lakini alitoka.
 
Siungi mkono biashara ya unga lakini Bongo kuna vifungo vya kukomowana na siyo kumrekebisha mtu tabia.

Yule Skuba ambaye FBI waliomba Tanzania akabidhiwe kwao na akasafirishwa Marekani alihukumiwa Marekani na anakaribia kumaliza kifungo chake na ataungana na familia yake, na usikute ameshatoka Mimi ndio sina updates zake.
 
Yes lengo la kufungwa ni kurekebishwa tabia(Correctional department) ,yes kuna double standard sana , Skuba atakuwa kashatoka,nikiangalia scuba na abdul/shamim ni vidagaa kwake ,just imagine alikuwa under radar za US lakini allifungwa miaka 7 tu ,huku Shamim na mmewe nusu kilo tu wamefungwa maisha.

Hatutetei wauza madawa ila justice inatakiwa ,double standard haifai.
 
Daaah inasikitisha sana!! Adhabu kubwa sana! Mtoto wa Liyumba alikutwa na magunia ya unga lakini alitoka iweje hawa wakutwe na nusu kilo wafungwe Maisha? Masogange(M.A.P) alikamatwa na viroba vya sembe lakini alitoka.

Kila mtu na mzigo wake, tamaa za mademu wa kibongo zinakera mno. Shamimu alionywa na watu kuwa Abdul ni zungu ila kwa tamaa zake akaona bora ajitose tu!
 
Back
Top Bottom