Shamra shamra za Krismasi 2019 Kilimanjaro

Natoka Matamba Njombe Ijumaa tar. 20, nitakuwa Makere - Kasulu kwa muda tarehe 24 natua Moshi kwa wasela, ndani ya Capricorn Hotel, Marangu
Hapo Makere Kasulu Usishau Kuchukua Na Baruti Ya Kutumia Kwenye Fash Fash Mwaka Mpya
 
Leta picha basi!

Yaani unapita mkavu hivi hivi?
 
Mimi nipo hapa kwenye viwanja vya gofu Gymkhana ya Bukoba naenjoy likizo. Wazee wa kudownload picha mpo?? Karibuni uhayani View attachment 1298277

Sent using Jamii Forums mobile app
Hawa watu wanakelele nyingi Sana sijui moshi pameendelea kuliko pote.

Mtu bukoba anaisikia Tu kwenye mitandao

Huku ni muleba vijijin vingi vimewekwa lami zaidi km 52 kutoka muhutwe, kamachumu, kishanda, kamachumu Hadi huko ndani Rubya.



Wapo wanapewa kiburi na takwimu za kupikwa[emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nakuona unadownload picha za kwenye website!! Sasa sijui ndo shamra shamra zenu za X mass zipo kwa websites?? Naona screenshots kibao[emoji23]

Hivi nyie kama mnajua kwenu ni pabovu na hamtaweza kupiga picha na kutuonesha kinachoendelea kwa nini muanzishe nyuzi kama hizi? Ona sasa mnaumbuka hamna picha
Tupieni hata picha za senene basi

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…