Shamra shamra za Krismasi 2019 Kilimanjaro

Shamra shamra za Krismasi 2019 Kilimanjaro

Soma jina la uzi usilete mbege hapa. Kuna vitu vinachekesha! Yani mtu nipp eneo la tukio na nina simu yangu na canera yangu niache kupiga picha nianse kuingia google kutafuta picha?? Mnaficha vinanda vyenu vya mbao[emoji3][emoji3][emoji3]

Sent using Jamii Forums mobile app
Camera = Camera

Nianse = Nianze

Wewe kumbe hata kuandika huwezi siwezi kupoteza muda kujadili nawewe.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tupia na picha za katerero

Sent using Jamii Forums mobile app
Barabara ya lami katika kijiji cha kanazi kata ya katerero huko bukoba vijijin sijui unataka nini tena
images%20(4).jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Eti hakuna mkoa..... [emoji23][emoji23]

Hiv ulishawah fika bukoba vijijin,muleba na misenyi huko bila kusahau karagwe?

Mzee Baba tembea uone siku hiz mmezidi wahaya Kwa sifa

Sent using Jamii Forums mobile app
Usiemtaka kaja upo intanbul wape vitu hawa wachangamke wananiangusha sana hawa ndugu zangu arrawa maneno mengii

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unatumia nguvu kusifia bukoba yako, sisi ambao sio wahaya wala wachaga tunajua moshi ni balaa nchi hii, huwa tunakuona kama kikaragosi unavyoumiza vidole kusifia kimji cha pembezoni

Sent using Jamii Forums mobile app
Sibishan na watu wa vigunguti Mimi . Wazaramo waliotupwa huko mkuranga.


Hiv kuna nyuzi ngap za kusifia moshi? Wao ndo wanatumia nguvu nyingi kuaminisha umma mpaka baadhi ya watu hujiona mbwa( sio chochote) mbele Yao( mfano wew) lakin wakijitokeza wababe wao ( wahaya) hukimbia Uzi na kuishia kupost nyumba ya mengi na wazungu wavaa chupi wanaokwenda kutalii mlima

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kula senene
Nakuona unadownload picha za kwenye website!! Sasa sijui ndo shamra shamra zenu za X mass zipo kwa websites?? Naona screenshots kibao[emoji23]

Hivi nyie kama mnajua kwenu ni pabovu na hamtaweza kupiga picha na kutuonesha kinachoendelea kwa nini muanzishe nyuzi kama hizi? Ona sasa mnaumbuka hamna picha

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom