Shamra shamra za Krismasi 2019 Kilimanjaro

Ninachokiona hapa wahaya wanapost vitu vya kwenye mazingira yenyewe kioindi hiki wakati wachaga wanahaha na google kutafuta picha. Naona wana shamra shamra za X mass huko google. Maskini ulimi nje. Muache sifa za kuiga tena za kishamba[emoji41][emoji41]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ila hii muleba sijui ina nini.

Wilaya nzima ni rural area lakin watu wake wanaishi kimjini kuliko hata wakazi wa moshi mjini[emoji16] wilaya ina club nyingi mpaka migombani.

Wasafi festival,fiesta ,nandy festival vyote huishia muleba



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ha ha haaaa!! Usifananishe Muleba na uchafu wa Kilimanjaro mkuu. Huko Kibosho jamaa wamejenga nyumba chache lakini hizo kelele sasa. Kibosho kwanza ni kata tu[emoji23][emoji23][emoji23] Wawadanganye wasiopajua Kilimanjaro.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe una janaba si bure

Kwani picha za kudownload google hazikupigwa na Camera?

Hizo za kwenu mmezichora?



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hai,moshi vijijin ,siha plus rombo ni Sawa na nusu ya muleba Tu.

Lakin wanavyojitapa hapa[emoji23][emoji23][emoji23]

Huku karagwe mkoan kagera

Na bado bukoba vijijin,misenyi, muleba, kyerwaView attachment 1298462

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii jeans unaifananisha na zile mnazovaa machalii wa chuga? Wachaga ni washamba sijawahi kuona[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Vijinz vinabana vimepaukaaaaaa
Umevaa zako jeans ya kuchovya af unakazana kubishana kuhusu magorofa, mkuu pambana ujiondoe hapo ulipo kwanza

Sent using Jamii Forums mobile app
Btw hii jeans ni first class nimeagiza nje! Bongo hupati ya quality hii. We leta picha acha kutafuta pa kutokea malimbukeni wa Kaskazini nyie

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pure mhaya
 
Ndo shida ya sifa za kuiga. Mwisho wa siku wanakosa ushahidi. Tumsubiri luambo makiadi yupo kwenye treni anaenda Kilimanjaro kunywa damu. Akifika atatupostia picha nyingine za ku google[emoji3][emoji3][emoji3]
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu wahaya wana hela na wana spending habit. Hao wachaga wana hela za mawazo. Kwanza asilimia kubwa zinakuwa za ushirikina zina masharti kibao!!

Wahaya hawana shida katika spending na kula starehe. Ndo maana kila tamasha lazima lifike Bukoba au Muleba. Hata kama ni la nikoa mi3 tu lazima Kagera iwe katika hiyo mikoa[emoji3] Juzi hukumsikia jamaa wa ATCL anasema wameongeza route na ndege za kwenda mikoa ya Mwanza-Bukoba, Arusha na Kilimanjaro? Jamaa akasema kabisa kwa mfano Bukoba unapokea order ya familia moja wana book nafasi 15!!

Ila kwa Moshi inachangiwa na watalii wanaoenda mlima Kilimanjaro, n.k. japokuwa nao idadi sio kubwa kama route ya Mwanza-Bukoba. Na hivi wamewekewa kiberenge cha kuwapeleka huko kwao kwa njia ya reli naona soko la ndege litapwaya kiasi flani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Soma jina la uzi usilete mbege hapa. Kuna vitu vinachekesha! Yani mtu nipp eneo la tukio na nina simu yangu na canera yangu niache kupiga picha nianse kuingia google kutafuta picha?? Mnaficha vinanda vyenu vya mbao[emoji3][emoji3][emoji3]
Wewe una janaba si bure

Kwani picha za kudownload google hazikupigwa na Camera?

Hizo za kwenu mmezichora?



Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…