Shamra shamra za Krismasi 2019 Kilimanjaro

Shamra shamra za Krismasi 2019 Kilimanjaro

Sasa we unafikiri wahaya wote au makabila mengine wote washafika vijijini? No excuse mlete picha.

Na kama mlikuwa mnalijua hilo kwa nini mfungue uzi huu?? Aibuuu
Hawa wote mnaochat nao wako mijini hakuna mchaga anaewahi kwao mapema hiv, atleast leo kidogo watakua wameanza kwenda kule, wengi ni kuanzia tar 23 huko ndio wanaondoka, siku tatu nne wanarudi mijini kuendelea na shughuli zao

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aaaahh!! Hawa watu wa Ruzinga nawasikiaga sana. Huwa wana amsha amsha za hatari mkuu. Nitapanga nije huko nijumuike na nyie tukapige ma windhoek
Wachaga bado mnaokoteza picha za mahotel na lami kwenye uzi wa shamra shamra za X mas[emoji23][emoji23][emoji23]

Naona majirani hapa washaliamsha dude!! Hizi sasa ndo shamra shamra za X mass. Hapa ni Ruzinga, Missenye, Kagera migombaniView attachment 1298889

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa we unafikiri wahaya wote au makabila mengine wote washafika vijijini? No excuse mlete picha.

Na kama mlikuwa mnalijua hilo kwa nini mfungue uzi huu?? Aibuuu

Sent using Jamii Forums mobile app
Jifunze kusoma uelewe, hakuna sehemu niliposema mhaya alete picha, wala uzi hauja demand hivyo , wala hakuna kabila lolote zaid ya wachaga lililo tajwa hapa

Na uzi walianzisha wao kwaajili yao wenyewe, jifunze kusoma uelewe, la mwsho, ushaur mwepesi, stop being a keyboard warrior , maisha hayako hivyo, ingia kwenye mitandao, furahi , jifunze...thats it.

Huu mtandao ni public hivyo ulipost kitu lazima public tureact kama tunavyofanya.

Huna ushahidi na ulichopost kimbia Uzi kama walivyofanya wenzen

Kama mnataka wachaga Tu nenda kwenye magroup ya whatsup

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Utalikutia wapi zaidi ya jamaa wa bukoba kuweka picha ya ghorofa la Mama Tibaijuka ambalo lipo kama Godauni la kuhifadhia viroba vya K-Vant.

Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] .

Daah! instanbul huwa ana force sana kufananisha moshi na bukoga.

Sio vizuri kusema ila mtu mkubwa kama Ali mufuruki, tulipaswa kuona akipewa heshima kubwa kupumzishwa KWENYE mjengo wake kwao ila eti anapumzishwa kibuti kama mkimbizi?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
We are all behind our keyboards enjoying our fellows' foolishness!

We leta picha za wachaga acha blah blah[emoji3]
Jifunze kusoma uelewe, hakuna sehemu niliposema mhaya alete picha, wala uzi hauja demand hivyo , wala hakuna kabila lolote zaid ya wachaga lililo tajwa hapa

Na uzi walianzisha wao kwaajili yao wenyewe, jifunze kusoma uelewe, la mwsho, ushaur mwepesi, stop being a keyboard warrior , maisha hayako hivyo, ingia kwenye mitandao, furahi , jifunze...thats it.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Asante umejua Mfuruki alikuwa mtu mkubwa sana. Inatosha mengine tusikufuru ameshatangulia. R.I.P Ally Mfuruki bilionea wa kihaya
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] .

Daah! instanbul huwa ana force sana kufananisha moshi na bukoga.

Sio vizuri kusema ila mtu mkubwa kama Ali mufuruki, tulipaswa kuona akipewa heshima kubwa kupumzishwa KWENYE mjengo wake kwao ila eti anapumzishwa kibuti kama mkimbizi?

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Katoma kuelekea Gera! Huku ndo Bukoba vijijini. Wachaga mnasema lami zipo huko Kibosho tu Tanzania nzima[emoji3][emoji3][emoji3] tembea uone.

Hizi picha ni za sasa hivi kwa simu yangu. Sio za wachaga za kudunduliza mtandaoni
201912211622.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakuu anayeondoka na private Kesho kutwa jumatatu tupeane connection bana
 
We leta picha acha maneno. Utaleta barabara hapa utafikiri mnakula sikukuu barabarani. Mnakera. Mfyuuuu

Sent using Jamii Forums mobile app
sio kwamba nimekimbia ila nikiendelea kubishana na wewe nitakuwa mpumbavu maana upambavu huambukizwa;
Kwamba wewe hii uliyoposti sio barabara au ni chakula cha huko kwenu.

Mkuu tuendelee tu kusheherekea happy birthday ya Yesu, haya mengine nadhani yanakuza tu chuki
Sasa utapalinganishaje.

We huoni mkoa mzima wa Kilimanjaro ni Sawa na wilaya moja Tu ya muleba Kwa kagera.
Huoni kwamba sehemu ya kagera iliyoendelea ni kubwa mno ?
Nyie mna maneno mengi na sifa za kiboya bila kuwa na ushahidi.

Tunataka facts kama hiv sio maneno na takwimu zenu za kupikwaView attachment 1298721View attachment 1298722

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
sio kwamba nimekimbia ila nikiendelea kubishana na wewe nitakuwa mpumbavu maana upambavu huambukizwa;
Kwamba wewe hii uliyoposti sio barabara au ni chakula cha huko kwenu.

Mkuu tuendelee tu kusheherekea happy birthday ya Yesu, haya mengine nadhani yanakuza tu chuki

Sent using Jamii Forums mobile app
Hivyo Yan.

Msirudie kuanzisha nyuzi za kisenge za kujisifia uongo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom