Tumia akili kufikiria vitu vya maana sio kujipendekeza kwa wachaga
Sent using Jamii Forums mobile app
Hawa wote mnaochat nao wako mijini hakuna mchaga anaewahi kwao mapema hiv, atleast leo kidogo watakua wameanza kwenda kule, wengi ni kuanzia tar 23 huko ndio wanaondoka, siku tatu nne wanarudi mijini kuendelea na shughuli zao
Sent using Jamii Forums mobile app
Wachaga bado mnaokoteza picha za mahotel na lami kwenye uzi wa shamra shamra za X mas[emoji23][emoji23][emoji23]
Naona majirani hapa washaliamsha dude!! Hizi sasa ndo shamra shamra za X mass. Hapa ni Ruzinga, Missenye, Kagera migombaniView attachment 1298889
Sent using Jamii Forums mobile app
Jifunze kusoma uelewe, hakuna sehemu niliposema mhaya alete picha, wala uzi hauja demand hivyo , wala hakuna kabila lolote zaid ya wachaga lililo tajwa hapaSasa we unafikiri wahaya wote au makabila mengine wote washafika vijijini? No excuse mlete picha.
Na kama mlikuwa mnalijua hilo kwa nini mfungue uzi huu?? Aibuuu
Sent using Jamii Forums mobile app
Huu mtandao ni public hivyo ulipost kitu lazima public tureact kama tunavyofanya.Jifunze kusoma uelewe, hakuna sehemu niliposema mhaya alete picha, wala uzi hauja demand hivyo , wala hakuna kabila lolote zaid ya wachaga lililo tajwa hapa
Na uzi walianzisha wao kwaajili yao wenyewe, jifunze kusoma uelewe, la mwsho, ushaur mwepesi, stop being a keyboard warrior , maisha hayako hivyo, ingia kwenye mitandao, furahi , jifunze...thats it.
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] .Utalikutia wapi zaidi ya jamaa wa bukoba kuweka picha ya ghorofa la Mama Tibaijuka ambalo lipo kama Godauni la kuhifadhia viroba vya K-Vant.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kumbe wahaya na wasukuma wanafanana kitabia, ni WATAMBASHI.Umevaa zako jeans ya kuchovya af unakazana kubishana kuhusu magorofa, mkuu pambana ujiondoe hapo ulipo kwanza
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapo sikatishi hamna nyoka kweli hapo[emoji3517]Leo mchana!! Bukoba ya kijani, Kanyigo tayari kwa X masView attachment 1298624
Sent using Jamii Forums mobile app
Jifunze kusoma uelewe, hakuna sehemu niliposema mhaya alete picha, wala uzi hauja demand hivyo , wala hakuna kabila lolote zaid ya wachaga lililo tajwa hapa
Na uzi walianzisha wao kwaajili yao wenyewe, jifunze kusoma uelewe, la mwsho, ushaur mwepesi, stop being a keyboard warrior , maisha hayako hivyo, ingia kwenye mitandao, furahi , jifunze...thats it.
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] .
Daah! instanbul huwa ana force sana kufananisha moshi na bukoga.
Sio vizuri kusema ila mtu mkubwa kama Ali mufuruki, tulipaswa kuona akipewa heshima kubwa kupumzishwa KWENYE mjengo wake kwao ila eti anapumzishwa kibuti kama mkimbizi?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kumbe wahaya na wasukuma wanafanana kitabia, ni WATAMBASHI.
Jamaa ana mapozi ya 90's. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Azarel,
Kesho twende mbuzi Kwa Morombo, mzee baba
Naona wamekimbia wote.Katoma kuelekea Gera! Huku ndo Bukoba vijijini. Wachaga mnasema lami zipo huko Kibosho tu Tanzania nzima[emoji3][emoji3][emoji3] tembea uone.
Hizi picha ni za sasa hivi kwa simu yangu. Sio za wachaga za kudunduliza mtandaoniView attachment 1299200
Sent using Jamii Forums mobile app
Katoma kuelekea Gera! Huku ndo Bukoba vijijini. Wachaga mnasema lami zipo huko Kibosho tu Tanzania nzima[emoji3][emoji3][emoji3] tembea uone.
Hizi picha ni za sasa hivi kwa simu yangu. Sio za wachaga za kudunduliza mtandaoniView attachment 1299200
Sent using Jamii Forums mobile app
sio kwamba nimekimbia ila nikiendelea kubishana na wewe nitakuwa mpumbavu maana upambavu huambukizwa;We leta picha acha maneno. Utaleta barabara hapa utafikiri mnakula sikukuu barabarani. Mnakera. Mfyuuuu
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa utapalinganishaje.
We huoni mkoa mzima wa Kilimanjaro ni Sawa na wilaya moja Tu ya muleba Kwa kagera.
Huoni kwamba sehemu ya kagera iliyoendelea ni kubwa mno ?
Nyie mna maneno mengi na sifa za kiboya bila kuwa na ushahidi.
Tunataka facts kama hiv sio maneno na takwimu zenu za kupikwaView attachment 1298721View attachment 1298722
Sent using Jamii Forums mobile app
Hivyo Yan.sio kwamba nimekimbia ila nikiendelea kubishana na wewe nitakuwa mpumbavu maana upambavu huambukizwa;
Kwamba wewe hii uliyoposti sio barabara au ni chakula cha huko kwenu.
Mkuu tuendelee tu kusheherekea happy birthday ya Yesu, haya mengine nadhani yanakuza tu chuki
Sent using Jamii Forums mobile app