Shamra shamra za Krismasi 2019 Kilimanjaro

Barabara ya muleba-rubya bado haijawekwa lami,wameichonga tu
Tanzânia nzima Hakuna wilaya siijui huko muleba ninapita Sana juz kati nilikuwa mlela nshamba

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahahaaaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mchaga na Mhaya hawawezi kushindanishwa kwenye biashara, makazi bora na utunzaji mazingira.
Wahaya labda mjivunie kuwa na watu wengi wenye Elimu ya juu.
Ukweli uachwe ubaki kuwa ukweli.
Mimi sio Muhaya wala Mchaga

Sent using Jamii Forums mobile app
Na hata elimu ya juu Ni 50/50
Hakuna taasisi yoyote ya elimu ya juu utawakosa wachaga hasa ktk fani za uhasibu, biashara, uchumi, maliasili


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbona nyie mnaweka za BUKOBA WADAU kwani nyie hamna simu?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi sipost hizi za watu nisiowajua za mitandaoni. Haya majumba ya mahotel hapana aisee. Wachaga mna kelele nyingi ila kwa mtu mweye akili ya kufatilia atagundua hamna kitu

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwan Kuna nyumba ambayo sio ya uchagani?
Mbona nyie mnaleta zilizopigwa na blog ya bukoba WADAU? Wacha kelele tulia unyolewe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbona zenye label ya bukoba WADAU huzisemi?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwan hizo picha za mitandaon sio za moshi? Picha ni picha ilimradi iwe ya eneo husika na mazingira hayadanganyi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umepanic Kwan picha za mtandaoni sio za moshi?
Mbona nyie mnaleta za mtandao sa bukoba WADAU? Kwisha habari Yako unatapatapa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…