Shamra shamra za Krismasi 2019 Kilimanjaro

Shamra shamra za Krismasi 2019 Kilimanjaro

Mkuu tembea uone.

Hapa ni km 90 kutoka bukoba maeneo ya muleba iliyo chini ya mama wa mboga na Yule waziri mwijage aliyekuwa viwanda.


Kumbuka hizi barabara za vijijin



Lami inaanzia muhutwe ( ilipo barabara kuu) kwenda nshamba kupitia vijiji vya kamachumu na kishanda.

Na bado kutoka muleba mjini Hadi Rubya.

Na bado magheto ya huko migombani




Huko moshi ni padogo mno kulinganisha na bukoba , muleba,karagwe na misenyiView attachment 1298083View attachment 1298085

Sent using Jamii Forums mobile app
Barabara ya muleba-rubya bado haijawekwa lami,wameichonga tu
Tanzânia nzima Hakuna wilaya siijui huko muleba ninapita Sana juz kati nilikuwa mlela nshamba

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji23][emoji23][emoji23]hawa wape wa sifa wa kaskazini wanachekesha sana na wanatia huruma

Sent using Jamii Forums mobile app
Karibu uchagani
tapatalk_1577023586947.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kifupi wachagga hawana show off. Wawe unayetaka picha unataka uzifanyie nini? Unataka waweke picha za makasiri yao ili kesho muanze kuwafuatilia? Maana najua kuna wanaotamani hata waenfe kilimanjaro kwa wachaggawakabomoe maghrofa yao kwa chuki zilivyo kubwa.

Wenzio walishaondoka mijini wako kwao wanafurahia maisha hawana hata habari. Maana post inahusu wachagga lakini wale mabingwa wa show off wanarusha picha za makwao. Pole sana kwa sababu huwezi hata punje kushindana nashemeji zangu. I salute them kila eneo.
Hahahaaaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mchaga na Mhaya hawawezi kushindanishwa kwenye biashara, makazi bora na utunzaji mazingira.
Wahaya labda mjivunie kuwa na watu wengi wenye Elimu ya juu.
Ukweli uachwe ubaki kuwa ukweli.
Mimi sio Muhaya wala Mchaga

Sent using Jamii Forums mobile app
Na hata elimu ya juu Ni 50/50
Hakuna taasisi yoyote ya elimu ya juu utawakosa wachaga hasa ktk fani za uhasibu, biashara, uchumi, maliasili


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tumekataa picha za mitandaoni za kuedit na photoshops. Hivi nyie hamna simu? Au simu zenu hazina camera??

Mmesema wenyewe ni uzi wa picha za amsha amsha za X mas huko kwenu migombani. Naona mnatupakulia picha tu mitandaoni. Mchaga hoi[emoji1787][emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona nyie mnaweka za BUKOBA WADAU kwani nyie hamna simu?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi sipost hizi za watu nisiowajua za mitandaoni. Haya majumba ya mahotel hapana aisee. Wachaga mna kelele nyingi ila kwa mtu mweye akili ya kufatilia atagundua hamna kitu

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwan Kuna nyumba ambayo sio ya uchagani?
Mbona nyie mnaleta zilizopigwa na blog ya bukoba WADAU? Wacha kelele tulia unyolewe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hizi sasa ndio picha. Sio huo upuzi wa google. Tunahitaji kuona vitu natural kama hivi kutoka Moshi au Bukoba. Nimefurahi sana. Nami naweka vya kwangu nimefika leo kijijini. Haina kukopi wala kudownload ni kwa camera yangu mwenyeweeeee

Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona zenye label ya bukoba WADAU huzisemi?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tusameheane tu ndugu. Wachaga mmezoea sana kutuharibia nyuzi zetu. Na sisi tunawaharibiaga tu kimakusudi. Nafikiri na wanaJF wote washatuzoea na kuona ni kawaida. Kwenye uzi wa Kagera wanajua watapata vitu vya Kilimanjaro and vice versa. Tushakuwa watani sasa. Haya tulieni hivyo hivyo sasa muendelee kuleta picha za maeneo yenu, sio hizo za mitandaoni tusiwaharibie uzi (kama mtaweza lakini maana hapa kwenye picha tunakuwa tumewaroga kabisa)[emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwan hizo picha za mitandaon sio za moshi? Picha ni picha ilimradi iwe ya eneo husika na mazingira hayadanganyi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Na kweli imepenya maana naona pumzi imewaisha kabisa. Kihele hele chote cha kufungua uzi wa picha za shamra shamra za X Mass mmekosa picha mnakimbilia mitandaoni ku download za insta. Mmebanwa p.u.m.b.u maji shingoni. Namuona luambo mikiadi akijuta angejua asingefungua huu uzi. Ashataka kuufuta bahati mbaya sana JF ngoma haifutiki[emoji23][emoji23][emoji23]

Acha tu tuwasaidie kupiga picha za kwetu Bukoba kwa kuwa kuna migomba na nyie mtasuuza macho

Sent using Jamii Forums mobile app
Umepanic Kwan picha za mtandaoni sio za moshi?
Mbona nyie mnaleta za mtandao sa bukoba WADAU? Kwisha habari Yako unatapatapa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom