Mshobaa
JF-Expert Member
- Apr 7, 2013
- 1,714
- 677
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haitatokeaga nyama zikawa chini ya wali
😂😂😂😂🙌🙌
Hapo ndio wananiachaga hoi manenooo mengii mbele gizaMbona hatuoni picha za kaskazini.... Tunaona comments tu...
Hawajiamini...... Ila niliambiwa nyama zipo chini, let me wait...
Mbona picha huwa wanapost sana hasa za mjadala?Hawajiamini...... Ila niliambiwa nyama zipo chini, let me wait...
Mbona picha huwa wanapost sana hasa za mjadala?Hawajiamini...... Ila niliambiwa nyama zipo chini, let me wait...
Mimi nimeshakuja jana KLM / Arusha kuandaa makao.
Nitakuja wiki ijayo kuwachukueni ndugu zangu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Asante chif ntakaribia.... Napenda penda ndiziMbona picha huwa wanapost sana hasa za mjadala?
Hebu pata rasha rasha kwanza
Karibu View attachment 1296371View attachment 1296372View attachment 1296374View attachment 1296373
Sent using Jamii Forums mobile app
Tatizo hatufahamiani MkuuMkuu tutakua tulikuja bus moja maana na mimi nlikua na KLM ya saa 12:50
Sent from my iPhone using JamiiForums
Hawajiamini...... Ila niliambiwa nyama zipo chini, let me wait...
Hii ni Arusha / Half London, subiri za The green Kilimanjaro.
Sawa mzee baba.... Kwa nn msianzishe Uzi wenu wa mapichapicha kama Mwanza na dar....Hii ni Arusha / Half London, subiri za The green Kilimanjaro.
View attachment 1296399View attachment 1296400View attachment 1296401View attachment 1296402View attachment 1296403
Sent using Jamii Forums mobile app
Naona mwanza hapo round about ya kemondoHii ni Arusha / Half London, subiri za The green Kilimanjaro.
View attachment 1296399View attachment 1296400View attachment 1296401View attachment 1296402View attachment 1296403
Sent using Jamii Forums mobile app