instanbul
JF-Expert Member
- Jun 26, 2016
- 12,037
- 17,212
Acha sifa za uongo hapaMbona kilimanjaro tuna route 5 kwa siku ? Hahaha watu wa bukoba kwa ushamba hamjambo ,Sisi hadi ndege tunamiliki (précision air) nyie mnao huo uwezo?
Sent using Jamii Forums mobile app
.mtu anahisa chache kwenye presicion air ndo mnasema mnamiliki wachaga wote hiyo precision??
Sent using Jamii Forums mobile app