Shamra shamra za Krismasi 2019 Kilimanjaro

U
Waambie wachaga wenzangu. Mimi ninakuja na boksi lililojaa kadi za CCM wote mliotangulia jiandae kupewa kadi za chama tawala.
Upinzani umeendelea sana K’Njaro kwasababu ya mwamko wa watu kule. Katika jimbo la Vunjo kwamfano ccm haijachagiliwa kuanzia siasa za vyama vingi zianzishwe mwaka 1995. Imekuwa ni TLP, NCCR, au CHADEMA. Sehemu nyingine Tz ni ccm tangu 1954. Ni penye ujinga tu ccm inastawi.
 
Safari hii CCM itaingia Kilimanjaro kwa mkono wa chuma. Kama huamini subiri uone.
 
Wenyewe wa Moshi wanagiita vifodi. Wachaga washamba sana[emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787]
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tatizo ni jina la uzi mkuu. Mmeufungua wenyewe msikimbie maana ya uzi. Wekeni pichaaaaaaaaa[emoji3][emoji3]
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…