Shamra shamra za Krismasi 2019 Kilimanjaro

Shamra shamra za Krismasi 2019 Kilimanjaro

Una akili sana Upendo. Napenda picha kama hizi zinatoka eneo la tukio. Keep it up. Upo unapata mbege kidogo eeh!?

Sent using Jamii Forums mobile app
Picha ni picha ilimradi iwe ya eneo husika haijalishi umeipiga wewe au la
Mbona mwenzio instanbul 100% ya picha za uhayani anazoweka hapa hajazipiga yeye zingine zina label ya "bukoba WADAU" mbona huzisemi?
Hoja Ni je picha Ni ya sehemu husika?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Maziwa au makorongo?

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu mabomba ya maji yako wap?

Huku bukoba Hadi chemchem zinajengewa kabisa na maji usuppliwa kutoka hapo kwenda vijijin
FB_IMG_15770435461387796.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Weweeeee elimu uchagani ndiko ilikolala hata mtawala wa jadi mangi mareale alikuwa na masters kutoka Cambridge unadhani mchezo?
Sekta ngumu ngumu ndio wanasomea wachaga hasa uhasibu,bussness,economic,sheria,doctor nk
Hakuna bank yoyote tz utawakosa wachaga kwa wingi
Nmb muleba,bukoba,ngara,kanda ya ziwa mabosi Ni wachaga huo Ni mfano tu

Sent using Jamii Forums mobile app
We ni mtu wa porojo Tu.

Hawa nshomile siwaelewi kabisa.

Cheki hiz nyumba
DSC_4734%20(1).JPG


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tunathanini nyumbani ndio maana usafiri wowote tunaumaliza
Sio ndege,sio mabasi,sio treni kote tunajaza na tunabaki ndio ujue tunapenda nyumbani sio nyie mkifa mnazikwa kisutu mnaona aibu kurudi kwenu
Bhojo kaziro

Sent using Jamii Forums mobile app
Acha kumsingizia Mzee Mufuruki!!!

Huyo hapo akiwa huko kwao katerero bukoba vijijin

Na huyo ndo mama yake.

Anyway muache apumzike Kwa Amani na nilishakwambia amezikwa kiislamu sio kitamaduni
FB_IMG_15770444362104017.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huu uzi ni wa KLM, mambo ya mikoa mingine kujadiliwa huku...itifaki izingatiwe.

Events
Homecoming - Redstone 24/12
The Nyama Choma Festival - Uhuru Park 26/12



Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Back
Top Bottom