Monchengladbach
JF-Expert Member
- Jan 29, 2019
- 703
- 514
Picha ni picha ilimradi iwe ya eneo husika haijalishi umeipiga wewe au laUna akili sana Upendo. Napenda picha kama hizi zinatoka eneo la tukio. Keep it up. Upo unapata mbege kidogo eeh!?
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu mabomba ya maji yako wap?
Ndege tulikodi zote zikaisha unaambiwa ndege zote za kwenda Moshi zipo booked hadi February Yaan wachaga Ni hatari dunia nzima inafwatilia uchagani sasahv
Wahaya mna uwezo wa kufanya hv? Nyie mnaishia kunywa gongo zenu zinazoitwa KANIJOMkuu nakuona upo fb unaokoteza picha za wanaume wenzio wanakunywa bia. Kazi njema[emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Depal nataka nikutoe weekend ,Kilimanjaro tu? Kwahiyo sie majirani zenu tuliopo Arusha mnatutenga?
Baada ya ndege zote kujaa, mabasi,tuliamua kutumia hiyo alternativeVip mlishaacha kupanda daladala za buza kwenda sikukuu moshi[emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
We ni mtu wa porojo Tu.Weweeeee elimu uchagani ndiko ilikolala hata mtawala wa jadi mangi mareale alikuwa na masters kutoka Cambridge unadhani mchezo?
Sekta ngumu ngumu ndio wanasomea wachaga hasa uhasibu,bussness,economic,sheria,doctor nk
Hakuna bank yoyote tz utawakosa wachaga kwa wingi
Nmb muleba,bukoba,ngara,kanda ya ziwa mabosi Ni wachaga huo Ni mfano tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu njoo pmAzarel, Mimi nishakata ticket
Amsterdam -dar via Dubai
Kilimanjaro the blessed land
Sent using Jamii Forums mobile app
Uchagani Ni Kama ulaya tu wazungu wapo wengi mtu akija anaeza kudhani yupo America kumbe moshi
Acha kumsingizia Mzee Mufuruki!!!Tunathanini nyumbani ndio maana usafiri wowote tunaumaliza
Sio ndege,sio mabasi,sio treni kote tunajaza na tunabaki ndio ujue tunapenda nyumbani sio nyie mkifa mnazikwa kisutu mnaona aibu kurudi kwenu
Bhojo kaziro
Sent using Jamii Forums mobile app
Unaonaje hapo,kumbuka hili Ni kanisa la kawaida Wala sio jimboniHili kanisa moja Lina thamani ya makanisa yote yaliopo moshi.View attachment 1301486View attachment 1301487
Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona kubovu Sana? DuhAcha kumsingizia Mzee Mufuruki!!!
Huyo hapo akiwa huko kwao katerero bukoba vijijin
Na huyo ndo mama yake.
Anyway muache apumzike Kwa Amani na nilishakwambia amezikwa kiislamu sio kitamaduniView attachment 1301731
Sent using Jamii Forums mobile app
Tulia wew dawa ikuingie.Unaonaje hapo,kumbuka hili Ni kanisa la kawaida Wala sio jimboniView attachment 1301734
Sent using Jamii Forums mobile app
Acheni sifa za kiboya.Huu uzi ni wa KLM, mambo ya mikoa mambo mingine kujadiliwa huku...itifaki izingatiwe.
Events
Homecoming - Redstone 24/12
The Nyama Choma Festival - Uhuru Park 26/12
Sent from my iPhone using JamiiForums