Monchengladbach
JF-Expert Member
- Jan 29, 2019
- 703
- 514
Na ndio maana mamlaka ya maji Moshi mwaka huu imetwaa tuzo ya mamlaka Bora kuliko zote Africa,maji ya bomba ya Moshi ni Safi na Salama kwa 100%Wanasema tembea uone ,moshi vijijini maji unakinga tuu bombani na kunywa kama ulaya vile
Na ndio maana mamlaka ya maji Moshi mwaka huu imetwaa tuzo ya mamlaka Bora kuliko zote Africa,maji ya bomba ya Moshi ni Safi na Salama kwa 100%
Sent using Jamii Forums mobile app
Endeleen kujimwambafy huku bukoba Mambo ni kimya kimya.
Vi milion 60 Ni hela? Hata aibu hamna?Endeleen kujimwambafy huku bukoba Mambo ni kimya kimya.View attachment 1306051
Sent using Jamii Forums mobile app
Hebu angalia video iko YouTube.hio ni Jana Tu .[emoji23][emoji23]Vi milion 60 Ni hela? Hata aibu hamna?
Kule vunjo wananchi walichanga bilion 7 kukarabati barabara zote za jimbo
Nyie bado Sana aisée mje kwa waalimu (wachaga)mfundishwe[emoji3][emoji3]
Sent using Jamii Forums mobile app
Cathedral haioni ndani kwa hii kanisa ya kijijin kabisa MoshiKuna kanisa lipo kama tanki[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nasubiri Cathedral ya moshi ya kristu mfalme nilinganishe na mater misericordia church ya bukoba [emoji23][emoji23][emoji23]
Hiv mnaijua Cathedral ya bukoba?
Sent using Jamii Forums mobile app
Ya Mwaka Gani Hii IlipojengwaCathedral haioni ndani kwa hii kanisa ya kijijin kabisa MoshiView attachment 2021455