Shamra shamra za Krismasi 2019 Kilimanjaro

Acha poroja leta picha za hiyo marangu nami nilete bukoba vijijin

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu kwani nimekataa huko kwenu hamjengi ? Ila nimezunguka hili taifa zaid ya mikoa 20.. (bukoba sijafika) hakunaga kama wachaga kwenye swala la kujenga kwao , ...labda itakua na huko kwenu pia

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu tembea uone.

Hapa ni km 90 kutoka bukoba maeneo ya muleba iliyo chini ya mama wa mboga na Yule waziri mwijage aliyekuwa viwanda.


Kumbuka hizi barabara za vijijin



Lami inaanzia muhutwe ( ilipo barabara kuu) kwenda nshamba kupitia vijiji vya kamachumu na kishanda.

Na bado kutoka muleba mjini Hadi Rubya.

Na bado magheto ya huko migombani




Huko moshi ni padogo mno kulinganisha na bukoba , muleba,karagwe na misenyiView attachment 1298083

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu kwani nimekataa huko kwenu hamjengi ? Ila nimezunguka hili taifa zaid ya mikoa 20.. (bukoba sijafika) hakunaga kama wachaga kwenye swala la kujenga kwao , ...labda itakua na huko kwenu pia

Sent using Jamii Forums mobile app
Sample ya nyumba zilizopo vijijin.

Panda gari toka anzia muleba mjini Hadi bunazi huko misenyi ukikutana nyumba mbovu au ya nyasi naacha.


Bila Shaka mnaona uhalisia wa kagera na ndizi zetu na migomba sio hao wanaopost wazungu wavaa chupi wanaopanda mlimani.View attachment 1298100View attachment 1298101View attachment 1298103View attachment 1298105

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Attachments

  • images%20(22).jpeg
    47.9 KB · Views: 1
  • images%20(7).jpeg
    43.3 KB · Views: 2
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

instanbul

Kaka angu unanifurahisha sana siku zote hasa kwenye hiz ligi zetu.

Sasa hiyo waterfall mbona inaogopesha hata mtu kupiga nayo picha?

Ebu njoo Marangu bhana, Amazon forest.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mchaga na Mhaya hawawezi kushindanishwa kwenye biashara, makazi bora na utunzaji mazingira.
Wahaya labda mjivunie kuwa na watu wengi wenye Elimu ya juu.
Ukweli uachwe ubaki kuwa ukweli.
Mimi sio Muhaya wala Mchaga
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nasema Hiviiiiiiiiiii.....!

Moshi BABA LAO.



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…