instanbul
JF-Expert Member
- Jun 26, 2016
- 12,037
- 17,212
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mzee wa kupima oilHapo mengi anafugia Nguruwe.
So Tulia dogo.
Nyumba ya Mbabe wenu.
Bukoba nzima mkiunganisha vibanda vyenu hamfikii theluthi ya nyumba ya huyu jamaa. [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Imejengwa na Engineer wa Israel.
Hii kwa Marekani ilibidi ikae huko Maryland au Manhattan Beach.
Wachagga sisi sio level zenu, hamuoni Aibu? [emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 1301598View attachment 1301600View attachment 1301601View attachment 1301602
Sent using Jamii Forums mobile app
Unashabikia kodi za Wajerumani?Christmas Wachagga mliopo Marangu tukasali Mamba, Kotela kwa wa Lutheran.View attachment 1301362View attachment 1301363
Sent using Jamii Forums mobile app
Sawasawa hebu ona wahaya wenzio wa karagweLeo nipo Kwa wahaya wa karagwe maarufu kama wanyamboView attachment 1301669
Sent using Jamii Forums mobile app
Kodi Gan? Michango ya waumini Ni Kodi za mjeruman au huna macho?Unashabikia kodi za Wajerumani?
Maji ya bomba mpaka vijijin huko uhayani.Sawasawa hebu ona wahaya wenzio wa karagweView attachment 1301678
Sent using Jamii Forums mobile app
Nyumba zote zilizopo kagera nzima gharama zake Ni sáwa na msingi wa nyumba ya mengi tuMzee wa kupima oil
Bukoba haaa
Naona wameanza kukumbatia nyumba ya marehemu [emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 1301622
Sent using Jamii Forums mobile app