Shamsa Ford adaiwa kuiba bwana wa Wolper

mods tunaomba page special kwa ajili ya ubuyu
 
Halafu Shamsa ni bingwa wa kuachwa hapatagi bahati hata ya kuvalishwa pete.Bora mwenzie wolper anapataga bahati ya kubadilisha dini na kuvalishwa pete.
 
Halafu Shamsa ni bingwa wa kuachwa hapatagi bahati hata ya kuvalishwa pete.Bora mwenzie wolper anapataga bahati ya kubadilisha dini na kuvalishwa pete.
Duuh[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
NMwanaume anaibiwa?wamependana na wakati wao ni sasa
 
Mbona huyo chid amekondeana hivyo kimkono kama toothpick
 
Hapo wanamtafutia kick huyo mapenzi....
 
Hivi siku hizi unaweza kumuiba ama kummiliki mtu jamani!?
 
Kama watu waliweza kuiba ma contena yenye urefu wa futi 40 bandarini itakuwa mume wa mtu?

[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]majibu yako yanaendana na picha yako[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
 
Bwana mwenyewe anatumia dozi,jamani Shamsa kapime kabisa ili uanze kutumia mbolea
 
Huyu Chidi bwana...
Kaanza juzi kama utani sasa hivi anawabadili tu kama nguo.
Wadada wa bongo movie ukimiliki duka la nguo utawakimbia mwenyewe...
Mwanzoni huwa wanaanza kutangaziana biashara,haupiti muda unasikia ni wapenzi.
Kama huyo Wolper katoka nao wengi sana.

Achana na huyo Chidi Mapenzi,Gee Model alishatoka nae pia.
Ila jamaa alitaka kumuweka ndani kilichomkwamisha ni ukoboaji wa Wolper.
Alijitahidi kwa kila namna akashindwa kumbadilisha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…