Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwanaume asiye na msimamo hufanya ujinga huu na lawama kupewa upande mwingineHivi unamuiba vipi mume wa mtu?
Asante kwa hili .Mwanaume asiye na msimamo hufanya ujinga huu na lawama kupewa upande mwingine
Hao wanaume wanapenda kuibiwa wenyewe......tena wanafurahi kwelikweliJibu swali langu. Usinijibu swali kwa kuniuliza swali toa jibu . Mume wa mtu anaibiwaje.??
Duuh[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Halafu Shamsa ni bingwa wa kuachwa hapatagi bahati hata ya kuvalishwa pete.Bora mwenzie wolper anapataga bahati ya kubadilisha dini na kuvalishwa pete.
Sasa kumbwe wanafanywaje..?Nashangaa sijui wanaibiwaje
....si alimnyatia kwa nyuma jamaa akiwa amesinzia, akamtia kwenye kiroba, akatoka naye nduki.Ali mwibaje sasa embu dadafuwa kidogo ata kwa kimombo
Kama watu waliweza kuiba ma contena yenye urefu wa futi 40 bandarini itakuwa mume wa mtu?
Ptuuuuu halafu hii picha waliipiga mwezi wa Ramadan! [emoji134]