warumi
R I P
- May 6, 2013
- 16,218
- 18,440
Kutokana na mabalaa yanayomkuta hamisa mobeto na hii caption ya shamsa , je huu ujumbe unaweza kuwa wa hamisa kutokana na matukio kadhaa aliyowahi kumfanyia zari huko nyuma? , ni kweli anayopitia hamisa sasa hvi ni Malipo yake au ?
Tupia comment chini , nini maoni yako?