Miss Madeko
JF-Expert Member
- Apr 30, 2014
- 4,364
- 5,609
Hiyo miwaya ulimpa weye,wanawake tuache unafiki naomba ripoti yake kuwa ni muathirika. Bila uthibitisho jua una roho ya chuki na hutokuja kufanikiwa kwa kuwachukia wanawake wenzako waliofanikiwa.
Elfu mbili na hii nilitoa kwa ajili ya nauli ya kurudia kwao na sikuwa na hela ndogo zaidi ya hiyo na hadi leo hajarudisha chenjiMwisho wako kutoa pesa kumpa mpenzi ilikuwa kiasi gani?
Ukiona binadamu anasema fulani ana miwaya, jua huwa wanaonana kwenye counselling zao na wakati wa kuchukua dawa zao, bila shaka yeye atakuwa mmoja wao.Imekugusa mno....
Hivi kaishia wapi?Amuulize yule Diva wa Clouds alipoishia
Pengine ni daktari wakeUkiona binadamu anasema fulani ana miwaya, jua huwa wanaonana kwenye counselling zao na wakati wa kuchukua dawa zao, bila shaka yeye atakuwa mmoja wao.
Umewaza kama mimi mkuuKiukweli ni mzuri kwa kutafunwa .....wanaomkandia sio mabaharia
Ngoma hana mkuu mi nimeishapiga na nili mpima manake na ubongo movie nikajua tu tunatindua wengiUkiona binadamu anasema fulani ana miwaya, jua huwa wanaonana kwenye counselling zao na wakati wa kuchukua dawa zao, bila shaka yeye atakuwa mmoja wao.
Then Ethics za kazi yake hazijui. Hlafu kwa akili yako ya kujiongeza shosti huyo anaweza kuwa dakatri kweli??Pengine ni daktari wake
Watu hufikiri ukimwi unapatikana kirahisi hivyo, nawashauri watu waongeze maarifa zaidi kwa kusoma vitu vya amani wasiishie kufuatilia habari za udaku huko mitandaoni lol..Ngoma hana mkuu mi nimeishapiga na nili mpima manake na ubongo movie nikajua tu tunatindua wengi
Alipima ,live eatv, kwenye fnl, na majibu yakatoka hana ngwengwe!!Hiyo miwaya ulimpa weye,wanawake tuache unafiki naomba ripoti yake kuwa ni muathirika. Bila uthibitisho jua una roho ya chuki na hutokuja kufanikiwa kwa kuwachukia wanawake wenzako waliofanikiwa.
Jipe moyo tu, lakini mambo ya ndoa sivyo unavyo fikiri kabisaVijana wanatokwa povu kama ana bahati ataolewa zaidi ya hiyo 20