Miss Madeko
JF-Expert Member
- Apr 30, 2014
- 4,364
- 5,609
Hiyo miwaya ulimpa weye,wanawake tuache unafiki naomba ripoti yake kuwa ni muathirika. Bila uthibitisho jua una roho ya chuki na hutokuja kufanikiwa kwa kuwachukia wanawake wenzako waliofanikiwa.
Kwani yule mumewe vipi? Kwani wewe hili umlisikia kwangu? Pambana na hali yako lakini huo ndio ukweli.