Shamsa Ford hatimaye aolewa

Shamsa Ford hatimaye aolewa

Jana usiku ukumbiini
 

Attachments

  • 1472889207815.jpg
    1472889207815.jpg
    90 KB · Views: 107
Hawachelewi kusema walikuwa wanatengeneza movie.
 
Hyo njemba nili iona inamwaga chozi et hamin kumbe hadi njemba znamwaga chozi kwenye ndoa ila hongera zao ni hatua nzur mungu awabariki waishi ka baba na mama
 
Baada yakufunga ndoa
 

Attachments

  • 1472891580594.jpg
    1472891580594.jpg
    95.9 KB · Views: 76
Hako kasichana nasikia ndo kalipokonywa tonge mdomoni eti Chidi alisema kalikua hakajui kuoga
 

Attachments

  • 1472891997555.jpg
    1472891997555.jpg
    68.5 KB · Views: 85
Katika mademu ninaowapenda ni pamoja na huyu. Mola awalinde kwenye ndoa yao mpya. Na ikitokea Chidi akamwaga manyanga basi nitaingia mimi Inshaallah.
Wee,mawazo yako ni kama yangu nilikua nakula timing Nay wa Mitego azinguane nae nilianzishe,nakuja kushangaa Ney kamwagwa nataka kumzukia naambiwa kuna jamaa anaitwa Chid Lovee kalianzisha,basi ikabidi nile kwa macho tu,ila siwaombei waachane,nawaombea wadumu kwenye ndoa yao na iwe mfano bora kwa wengine,Mimi natafuta mwingine kwa sasa kwani niliempenda kashachukuliwa.
 
Hako kasichana nasikia ndo kalipokonywa tonge mdomoni eti Chidi alisema kalikua hakajui kuoga
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] riziki yake Shemsa hiyoo!
 
Back
Top Bottom