Shamsa Ford hatimaye aolewa

Shamsa Ford hatimaye aolewa

Mbona kama wote wamechuja au ndoa ya nyongeza..
 
hao wahuni waliompa shamsa mtoto ni kina nani...?
 
Nimependa kafanya simple sio Aunty sherehe nne, sendoff kubadilisha nguo na showoff kibao mwisho kaachika na mtoto wa nje juu.
 
1472925353494.jpg

Anaitwa Dickson matoke. Walifunga ndoa ya kenyeji huko Tarime. Si unajua wanaume akina marua, wakashindwana
hao wahuni waliompa shamsa mtoto ni kina nani...?
 
Hongera zao....Mungu awabariki.Ila huyo Chiddy Mapenzi sijui Mpenzi uandishi wake ni balaa.Hii inasasifu kilichopo kwenye ubongo wake,hata kuansika na kuunganisha sentensi ni shidaa
Bibi harusi kuanzia kucha mpaka kope ni feki!!Hivi hawa uzuri wao wa asili kwanini wanauharibu?
 
Mhhhh!
 
Back
Top Bottom