Shamsa Ford hatimaye aolewa

Mbona kama wote wamechuja au ndoa ya nyongeza..
 
hao wahuni waliompa shamsa mtoto ni kina nani...?
 
Hiz ni clip za movie mpya inakuja karibuni kwa jina laaaa,Ulichon'tendaaaa.
 
Nimependa kafanya simple sio Aunty sherehe nne, sendoff kubadilisha nguo na showoff kibao mwisho kaachika na mtoto wa nje juu.
 
Hongera zao....Mungu awabariki.Ila huyo Chiddy Mapenzi sijui Mpenzi uandishi wake ni balaa.Hii inasasifu kilichopo kwenye ubongo wake,hata kuansika na kuunganisha sentensi ni shidaa
Bibi harusi kuanzia kucha mpaka kope ni feki!!Hivi hawa uzuri wao wa asili kwanini wanauharibu?
 
Hongera zao Mwenyezi Mungu awajaalie ndoa iwe ya kheri
 


Mhhhh!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…