Shamsa Ford hatimaye aolewa

Shamsa Ford hatimaye aolewa

Ila Shamsa katulia alikua hajapata mtu wakweleweka. Alifiki Nay ni husband material kumbe play boy. Ndomaana alivyoona mapichapicha kajingatua.
yaaahh,,!!anastahiki kuolewa nimefurahi sana!
 
Huyu nae alikuwepo atabaki kucheza kwayito kwenye harusi zawenzake kama akina Joti
 

Attachments

  • 1472839120326.jpg
    1472839120326.jpg
    49.1 KB · Views: 105
Huyu Mdada huwa namkubali sana huwa naona katulia sema hukutana na wasio size zake.

Bila shaka Allah atamjalia neema na baraka kwenye ndoa yake na itadumu mpaka kifo kitakapo watenganisha.
 
Kuna watu wana mambo ya ajabu sanaaa!wanaponda mwanaume mbayaa!!
Looh!yeye ukute hajawahi kudumu hata miezi 6 kwenye uhusiano wake!!
Ndoa ndo hata dalili hanaa!!
Eti mbaya loohh!we hujaomba hata ukuche ukute wanamtamani sana!
 
Back
Top Bottom