Shamsa Ford kumsomea Albadiri aliye muibia akaunti yake Instagram

Nucky Thompson

JF-Expert Member
Joined
Sep 20, 2016
Posts
1,817
Reaction score
4,061
Muigizaji wa Bongo movie amesema atamsome Albadir mtualiye hack account yake ya Instagram, ametoa taarifa kwa polisi na wataalamu wa IT tayari
ila kama hatairudisha yupo radhi kumfanya awe kichaa kutokana na umuhimu wa account hiyo kwake amesema

 
Mmh bongo movie bana wanadhani kila kitu ni maigizo,mtu keshatoa taarifa polisi na wapo wataalam wengi wa IT ya nn kutaka kutumia dini vibaya kwa ujinga wa mitandaoni. Si afungue account nyingine.

Anyway tumemiss majigambo yake ya mume wangu this mume wangu that.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…