Mtoto halali na hela
JF-Expert Member
- Aug 10, 2012
- 52,160
- 48,974
Aangalie kinachofaa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Al badri si uchawi ni kisomo....Al badili ni uchawi tu kama uchawi mwingine anashindwa kusema atamroga Anataka kuchafua dini yetu tu.
Nenda kawaulize wenye elimu ya dini kama kuna kisomo Kinaitwa Al badili kinacitambuliwa na sharia za uislamu.Al badri si uchawi ni kisomo....
Alikuwa na followers milioni 2 na DM ndo ina uchafu wa kufa mtu now she is worried kuwa huyo hacker amemtishia kumu expose
Ngumbaro ipo. Sema tatizo umandeHahahah mbadala wake ni QT!
Upumbavu tu.Al badri si uchawi ni kisomo....
Muigizaji wa Bongo movie amesema atamsome Albadir mtualiye hack account yake ya Instagram, ametoa taarifa kwa polisi na wataalamu wa IT tayari
ila kama hatairudisha yupo radhi kumfanya awe kichaa kutokana na umuhimu wa account hiyo kwake amesema
Mkuu na wala hiyo si dini yaaani huo ni uchawi kama ulivyo aina nyengine ya uchawi wala hamna tofauti.Mmh bongo movie bana wanadhani kila kitu ni maigizo,mtu keshatoa taarifa polisi na wapo wataalam wengi wa IT ya nn kutaka kutumia dini vibaya kwa ujinga wa mitandaoni. Si afungue account nyingine.
Anyway tumemiss majigambo yake ya mume wangu this mume wangu that.
Kaka wala si kisomo, "Ahlul badr" ni wale maswahaba wa mtume swallallahu alayhi wa sallam walopigana vita vya badr na si vyenginevyo.Al badri si uchawi ni kisomo....
UmeniwahiAlbadir haifanyi kazi asijisumbue