Rwankomezi
JF-Expert Member
- Sep 5, 2013
- 3,285
- 2,636
Ila huyu mmama mzuri wa kutafunwa hadi mifupa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Miguu wazi kama sio mke wa mtu [emoji23]
Yupo mdau mmoja aliwahi kuniambia Imeshakufa.Kwani imefufuka tena Mkuu?.Kwa mawazo hayo ni sahihi bongo muvi kufa.
Kwani alizaliwa na nguo?
Ilizimia tu sasa ndio inaelekea kufaYupo mdau mmoja aliwahi kuniambia Imeshakufa.Kwani imefufuka tena Mkuu?.
Si wameandika muigizaji wa Bongo movies?.Ndio nani?
Muigizaji wa Bongo movie amesema atamsome Albadir mtualiye hack account yake ya Instagram, ametoa taarifa kwa polisi na wataalamu wa IT tayari
ila kama hatairudisha yupo radhi kumfanya awe kichaa kutokana na umuhimu wa account hiyo kwake amesema
=.Ilizimia tu sasa ndio inaelekea kufa
Amri ya 9: Usiitamani nyumba ya jirani yako wala
Usitamani mke wake
Tunalazimishwa kutenda dhambi tu
Nyumba ya chid mapenzi siijui ila mke wake anatutendesha dhambi makusudi
akili za usiku hizi
Hivi Tanzania hamna elimu kwa watu wazima?
Kwa mawazo hayo ni sahihi bongo muvi kufa.
Ili tuendelee tunahitaji Vipaumbile vitatu elimu, elimu, elimu.siku hizi haipo naona waliifuta
Na kama inafanya kazi akamuulize Augustine lyatonga aliwahi somewa hii pale Temeke kama ilifanya kaziAlbadir haifanyi kazi asijisumbue
Kama yupo bihasharani unamkataza ww,utampa hela ya kipodozi na chakula mkuu?,nchi ya kibepari hii mkuu kama hauuzi unanunua.