Shamsa Ford kumsomea Albadiri aliye muibia akaunti yake Instagram

Al badri si uchawi ni kisomo....
Nenda kawaulize wenye elimu ya dini kama kuna kisomo Kinaitwa Al badili kinacitambuliwa na sharia za uislamu.

Asilimia kubwa ya wasomi wa so badili ni waganga wa kienyeji.

Masheikh wanaosoma pia wanakufuru na wanaingia kwenye shirki.
 
Bongo movie wengi hawana tofauti na bashite. Waliozungusha shule.
 
Anataka kumshtakia mwizi wake kwa mungu duh kama mungu ndo yuko hivo bora nisikutane nae tu
 
mwambieni albadir haina kitu atoe tu hela nzuri arudishiwe account yake akichelewa jamaa watasambaza pics zake chafu ohooo!!
 
Mkuu na wala hiyo si dini yaaani huo ni uchawi kama ulivyo aina nyengine ya uchawi wala hamna tofauti.
Hilo jina la ahlul badr ni kichaka wameona wajifichie lakini ni jambo tofauti baina ya mbingu na ardhi na hayo wakusudiayo.
Muumba awaongoze.
 
Kwa huu upuuzi aisee hata mimi ninge-hack.. Albadir wtf!
Hehehe! kapige hadi unakesha, ndiyo maana dini niliweka pembeni, upuuzi mtupu. Watu wanajifanya watu wa mungu alafu wanaongea upuuzi huu, hii miungu yenu ni ya fujo fujo tu alafu mnakaa mnaisifia kua imejaa rehema blah blah, imejaa hasira tu na kulipiza kisasi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…